sio kila anayebeba mimba anapenda wengine hutokea bahati mbaya, kwa hiyo mnataka wawe wanatoa?
sio kila anayebeba mimba anapenda wengine hutokea bahati mbaya, kwa hiyo mnataka wawe wanatoa?
Siku hizi imekuwa kama fasheni wanawake kuzaa bila ndoa ili mradi tu mmekutana na mpenzi wako kimjini mjini tu hata kwao hupajui unambebea mimba huo ni ushamba na ulimbukeni,chunguzeni hata watu wa kuzaa nao mimi nahisi wanawake wa sasa hivi mmerogwa.
sio kila anayebeba mimba anapenda wengine hutokea bahati mbaya, kwa hiyo mnataka wawe wanatoa?
18+ unabeba mimba kwa bahati mbaya?
Siku hizi imekuwa kama fasheni wanawake kuzaa bila ndoa ili mradi tu mmekutana na mpenzi wako kimjini mjini tu hata kwao hupajui unambebea mimba huo ni ushamba na ulimbukeni,chunguzeni hata watu wa kuzaa nao mimi nahisi wanawake wa sasa hivi mmerogwa.
Sidhani kama ni sahihi kusema kuzaa nje ya ndoa ni ulimbukeni kwani watu tupo tofauti sana, mpo nyie mnaoamini katika ndoa na tupo wengine tusio amini kwenye hiyo taasisi....
Kwenye kila jamii utakutana na watu wa kila aina...jaribu kuelewa misingi ya matendo yao kabla hujahukumu kwani wewe jinsi unavyowashangaa watu kwa kuzaa nje ya ndoa na wao wanakushangaa kwa kukimbilia ndoa wakati wanaona kuna matatizo lukuki ndani yake...
Cha msingi ni kuishi kwa kuelewa kuwa wale wanaofanya kama wewe hawapo sahihi na wale wanaofanya kinyume na imani yako wamekosea...ukikazana kutaka kila mtu aishi kama upendavyo wewe au ulivyomezeshwa na vitabu vya dini maisha yatakuwa magumu sana...try not to judge people...utaishi maisha mazuri sana.
tafakari
Nakubaliana nawe mkuu Molembe ila sote tunawajibika kwenye suala hili, tuwe makini, watoto wanakosa malezi na uangalizi, tuwe na huruma na tuwajibike.Siku hizi imekuwa kama fasheni wanawake kuzaa bila ndoa ili mradi tu mmekutana na mpenzi wako kimjini mjini tu hata kwao hupajui unambebea mimba huo ni ushamba na ulimbukeni,chunguzeni hata watu wa kuzaa nao mimi nahisi wanawake wa sasa hivi mmerogwa.
sio kila anayebeba mimba anapenda wengine hutokea bahati mbaya, kwa hiyo mnataka wawe wanatoa?
Your trying to justify non-sense