Kuzaa bila ndoa.

Kuzaa bila ndoa.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,849
Siku hizi imekuwa kama fasheni wanawake kuzaa bila ndoa ili mradi tu mmekutana na mpenzi wako kimjini mjini tu hata kwao hupajui unambebea mimba huo ni ushamba na ulimbukeni,chunguzeni hata watu wa kuzaa nao mimi nahisi wanawake wa sasa hivi mmerogwa.
 
hamnazo kabisa wanawake wanaozaa kabla ya kuolewa
 
mkuu unaujumbe mzuri ila umeshidwa kuupanga .linapokuja swala la kubeba mimba nje ya ndoa hapo lazima pande zote mbili ziangaliwe wanawake na wanaume.wanaume wengi wa sasa wanapenda wezi wao wawe na mimba kwanza ndio wawaoe kwa kuogopa kuuziwa mbuzi kwenye gunia sasa mambo yanapokaa vibaya hasa kifedha na kushidwa kukamilisha ndoa ndo wadada wanopakaa nyumbani...pia wadada wasikuizi wanapenda kushika mimba bila hata kuwashilikisha wapenzi wao ili tu wawaoe kwa kisingizio cha mtoto sasa kama mkaka hakujiandaa ndipo linapokuja swala la kukataa mimba na wadada wanabaki mtaani wanatoa macho...
 
Hahahaaaaaaaa! Mie halinihusu hili la leo, NATUMIA NYOTA YA BLUE!!!!!!! Mpaka washaanza kunihisi MGUMBA!!!!!!! Kumbe muoa wa majukumu na kuingia labor kirejareja!

Ila bora ujitoe COPY mapemaaa maisha yenyewe mafupi haya!

ILA MWANAUME UNAVOINIZA BILA NDOM NA HUNA VASECTOMY UNATEGEMEA NINI???????????
 
sio kila anayebeba mimba anapenda wengine hutokea bahati mbaya, kwa hiyo mnataka wawe wanatoa?
 
Siku hizi imekuwa kama fasheni wanawake kuzaa bila ndoa ili mradi tu mmekutana na mpenzi wako kimjini mjini tu hata kwao hupajui unambebea mimba huo ni ushamba na ulimbukeni,chunguzeni hata watu wa kuzaa nao mimi nahisi wanawake wa sasa hivi mmerogwa.

Sidhani kama ni sahihi kusema kuzaa nje ya ndoa ni ulimbukeni kwani watu tupo tofauti sana, mpo nyie mnaoamini katika ndoa na tupo wengine tusio amini kwenye hiyo taasisi....
Kwenye kila jamii utakutana na watu wa kila aina...jaribu kuelewa misingi ya matendo yao kabla hujahukumu kwani wewe jinsi unavyowashangaa watu kwa kuzaa nje ya ndoa na wao wanakushangaa kwa kukimbilia ndoa wakati wanaona kuna matatizo lukuki ndani yake...
Cha msingi ni kuishi kwa kuelewa kuwa wale wanaofanya kama wewe hawapo sahihi na wale wanaofanya kinyume na imani yako wamekosea...ukikazana kutaka kila mtu aishi kama upendavyo wewe au ulivyomezeshwa na vitabu vya dini maisha yatakuwa magumu sana...try not to judge people...utaishi maisha mazuri sana.
tafakari
 
Jamii ya kitanzania ya ajabu sana,,anayechoropoa mimba anaonekana mjanja,,anaye kataa kutoa mimba na kukubali kuzaa anaonekana mjinga,,,,hii ndo Tz original,,tajiri anaeiba na kufisadi ndiye anaeonekana mwenye akili,,mwenye kipato kidogo na nayetumia njia sahihi kutafuta mali anaonekana hana akili.Tuheshimiane Wakuu.
 
Siku hizi imekuwa kama fasheni wanawake kuzaa bila ndoa ili mradi tu mmekutana na mpenzi wako kimjini mjini tu hata kwao hupajui unambebea mimba huo ni ushamba na ulimbukeni,chunguzeni hata watu wa kuzaa nao mimi nahisi wanawake wa sasa hivi mmerogwa.

unazungumzia vipi na wale wanaofanya mapenzi kabla ya mda wake? Maana bila hivyo hayo yoote yasingetokea.
 
Sidhani kama ni sahihi kusema kuzaa nje ya ndoa ni ulimbukeni kwani watu tupo tofauti sana, mpo nyie mnaoamini katika ndoa na tupo wengine tusio amini kwenye hiyo taasisi....
Kwenye kila jamii utakutana na watu wa kila aina...jaribu kuelewa misingi ya matendo yao kabla hujahukumu kwani wewe jinsi unavyowashangaa watu kwa kuzaa nje ya ndoa na wao wanakushangaa kwa kukimbilia ndoa wakati wanaona kuna matatizo lukuki ndani yake...
Cha msingi ni kuishi kwa kuelewa kuwa wale wanaofanya kama wewe hawapo sahihi na wale wanaofanya kinyume na imani yako wamekosea...ukikazana kutaka kila mtu aishi kama upendavyo wewe au ulivyomezeshwa na vitabu vya dini maisha yatakuwa magumu sana...try not to judge people...utaishi maisha mazuri sana.
tafakari

Your trying to justify non-sense
 
Hivi ni wapi mnapata authority za kupangia watu maisha? Yani kufanya uzinzi kabla ya ndoa siyo Zambi ila kuzaa kabla ya ndoa ndio Zambi! Ujinga huu.

Na atoke mtu akamyoshee kidole Klyn kwa kuzaa nje ya ndoa wakati ndoa zenu njaa tupu, miaka 10 ya hujahi hata kwenda vacation angalau mikumi achilia vacation za Nassau anazokwenda Klyn.
 
Siku hizi imekuwa kama fasheni wanawake kuzaa bila ndoa ili mradi tu mmekutana na mpenzi wako kimjini mjini tu hata kwao hupajui unambebea mimba huo ni ushamba na ulimbukeni,chunguzeni hata watu wa kuzaa nao mimi nahisi wanawake wa sasa hivi mmerogwa.
Nakubaliana nawe mkuu Molembe ila sote tunawajibika kwenye suala hili, tuwe makini, watoto wanakosa malezi na uangalizi, tuwe na huruma na tuwajibike.
 
sio kila anayebeba mimba anapenda wengine hutokea bahati mbaya, kwa hiyo mnataka wawe wanatoa?

Huu ni uongo! Bahati mbaya labda kwa watoto wa shule. Mtu uko chuo unapata mimba bahati mbaya! Tatizo lenu huwa mnategesha ili muolewe na hamuwahusishi watu wenu! Ndio maana siku hizi harusi zinafungwa kwa bahati mbaya. Mtu akipata mimba ndo tunaanza kukalishana vikao vya ghafla ghafla
 
Your trying to justify non-sense

I'm not trying to justify nothing here....your values,beliefs n morals sio kanuni ya maisha ya kila mtu...usitake kila unachoamini kila mtu afanye kama wewe....think critically
na ukitaka kunipinga toa hoja sio mapovu
 
Back
Top Bottom