Kuzaa bila mpango ni kuendeleza umaskini

Nina miaka 36
Nina watoto 6 na mwanamke mmoja anamimba yangu.
Panapo majaliwa Dec/2026 nitakiwa na watoto 7.
Lengo ni kua na watoto 10 nikifika miaka 40.
Yaani panapo majaliwa mtoto wa mwisho awe na miaka 20 wakati nastaafu na miaka 60.

Zalisha weweee, acha kuogopa maisha.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Halafu hao watoto kila mmoja na mama yake maana ulisema hujaoa
Vp yule mwanamke wa tanga ameacha usumbufu
 
Zaa kadri uwezavyo mambo utajiri yatajulikana mbele ya safari Unaweza ukazaa watoto wawili ukawatengenezea na future kbs halafu wanakuwa masikin

Ukizaa watoto 10 muhimu uwalee vzr utotoni wakikua watajitafutia wenyewe
 
Ndio sijaoa sitaki kupiga mtu risasi.

Hayo ya mama mmoja au kila mtu na wake achana nayo..

Ndio aliacha na mwanae anasoma shule moja na wenzake.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom