Kuwika kwa jogoo au kuunguruma kwa simba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuwika kwa jogoo au kuunguruma kwa simba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mghaka, Jun 17, 2012.

 1. M

  Mghaka JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jogoo akiwika hufanya hivyo kwa manufaa ya kuku wenzake, lakini wapo viumbe hunufaika na tukio la uwikaji. Simba akiunguruma hufanya hivyo kwa manufaa yake yake lakini wapo viumbe hunufaika na muungurumo huo kwani nyati na pundamilia huchukua tahadhari.

  Katika maisha ya siasa ujanja ni nyenzo muhimu kuliko akili ya siasa. Siasa za ushindani ni kufuatitilia matukio na sauti mbalimbali unazozisikia na kujaribu kuzipa maana katika malengo yako ya kisiasa. Fanyeni hivyo kwa kuwasikiliza wema na wabaya ili mufike salama katika mapambano ya siasa. Msimchinje jogoo kwa kuwanyima usingizi wako watu wanasikilizia sauti ya jogoo kuwika waanze safari, msimtupie mawe simba akiunguruma, wapo watu wanataka aungurume karibu ya mashamba yao kila wakati ili wanyama wengine wasije kuharibu mazao yao.

  Sasa ndio wakati muafaka kwa CDM kusikiliza na kufanyia kazi kila walisikialo ili mjipange ipasavyo, jogoo watawika karibu na mnapolala, simba wataingia katika makundi yenu, pumba zitakuwa pamoja na mahindi, dhahabu na udogo vyote na viwe mali yenu lakini msivitumie bila kuvichambua na kwa wakati muafaka

  ALUTA CONTINUA, SUCCESS IS EMINENT
   
 2. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,278
  Likes Received: 1,205
  Trophy Points: 280
  ni kweli,ushauri mzuri
   
 3. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,840
  Trophy Points: 280
  duh baba you are too philosophical...ngoja nirudie kusoma tena
   
 4. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mkuu nimekupata uko juu kwa ushauri asante sana
   
 5. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Dah, pole sana mkuu kwa muda uliotumia kushauri wasioshaurika.
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 6. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Pole wewe mwenye mawazo mgando
   
Loading...