Kuwepo kwa maandamano nchi nzima kuhusu ESCROW

Kuwepo kwa maandamano nchi nzima kuhusu ESCROW

Je ni sawa kuandamana na kushinikiza wahusika kuwajibishwa na kufilisiwa?

  • Ni Sawa kabisa

    Votes: 23 95.8%
  • Sio Sawa

    Votes: 1 4.2%
  • Sijui

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    24
We!!.... Hao Jamaa Niliwahi Ona Video Moja Ya Maandamano Huko Mtwara
Wanapiga Kama Wanapiga Mti
Yaani Hawa Jamaa Ni Zaidi Ya Wauaji
Jamani Mi Mkinipa Vifaa Vya Kazi , Nitakuwa Front Line Kuongoza Libeneke.!!..Ila Hivihivi!!?.......Noo........Mtaandamana Wenyewe!!
Jigo

Majigo unataka upewe vifaa gani,au kama vile wanavyotumia Fanya Fujo Uone??
Kuandamana si mchezo we huoni watu wanatangaza maandamano halafu wanapanda ndege wanakimbia.Umeona wanavyodunyua bado unataka vifaa!! Thomaso.
 
hakuna jiwe litakalobaki bila kupinduliwa...majizi wote sharti wafungwe jela.
 
Leo ndio leo tungoje tuone kama watawabeba kama walivyozoea
 
Back
Top Bottom