Livanga
JF-Expert Member
- Apr 15, 2010
- 475
- 157
Kuna tetesi kuwa kuna maandamano yanaandaliwa na wananchi mbalimbali kutoka mikoa mbalimbali yanayohusisha ESCROW pamoja na action za serikali ukizingatia hali halisi ya huduma muhimu za jamii nchi kwa sasa. Nchi imekatiwa misaada na wahisani kwasababu ya ESCROW, Takriban wanafunzi 8000,000 wamekosa mikopo ya kwenda chuo wakati mafisadi wanakula hela, Wagonjwa mahospitalini hawapati dawa na mengine mengi niliyoyasikia.
Kama haya ni kweli serikali tambueni sasa watanzania wameamka na wanajitambua na mkumbuke nguvu ya umma ni kubwa kuliko chochote. Jirekebisheni na muongoze kwa kuweka maslahi ya taifa mbele.
Je nyie wanaJF mnalionaje hili ni sawa na je tuko tayari kwenda mbele na wananchi wengine?