Kuweni makini wasanii watawajia kila aina ya gia kuwasahaulisha yote na kuendelea kuwafanya watumwa wao

Kuweni makini wasanii watawajia kila aina ya gia kuwasahaulisha yote na kuendelea kuwafanya watumwa wao

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
23,877
Reaction score
31,620
Wasanii jambo lao limefanikiwa kwa kiasi kikubwa, na yule mtu wao ameingia madarakani na tarehe 9 dec wameona wamepata ushindi mwingine.

Hivyo kwa sasa watakuja na kila aina ya gia kuwalaghai ili muendelee kuwasapoti cha kisingizio eti "pale walikuwa kazini".

Sasa kama walishachagua upande wao wa kufanya kazi ,huku kwa wananchi wanataka nini? Huwezi kuwa balozi wa pesi wakati huo huo unataka kuwa balozi wa Coca-Cola.

Wakale walipopeleka mboga.

Utaratibu rasmi ni huu.

Unfollow.

Report account husika ya msanii ifungwe.

Hakuna ku comment chochote kwenye pages za wasanii iwe kimekufurahisha au kukuboa.

Kataa kusapoti miziki yao, kama ni waigizaji kataa kuangalia ma tamthilia yao.

Kataa kusapoti biashara zao.
 
Back
Top Bottom