Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,751
- 5,623

Mwanamke wangu Alinipigia simu! Hello baby, nina njaa sana muda huu

samahani unaeza kuja kwangu muda huu
, na wakati unakuja naomba unijie na kuku
Bila kupoteza muda
Nilianza kutafuta pahala wanauza kuku
& Nilinunua mkubwa kabisa
nikaenda nikenda kwa mpenzi wangu 
Alianza kumgawanyisha vipande, akatoa vipande viwili akawa anavichemsha na vingine akaviweka kwenye friji


Wakati tumekaa zetu kuku anaendelea kuiva
.....
Ndani ya dk 10 wakati kuku anachemka jikoni, simu yake ikaita
akaingia chumbani kwenda kuongea na simu


Baada ya kupokea simu, aliniambia kaka yake anakuja na hatofurahi akinikuta pale so nimpishe kidogo


Akanisisitiza niondoke haraka
atanipigia simu kaka yake akiondoka 




Kwa amani kabisa nilielekea jikoni nikashusha sufuria chini nikatoa vile vipande viwili nikaacha mchuzi mtupu,
, nikafungua friji nikachukua vipande vyote alivyokuwa ameviifadhi
, nikaanza safari ya kwenda kwangu



....Kuanzia jana nampigia simu kujua kama kaka yake ameondoka ama laa wala hapokei simu zangu cha ajabu ananikatia kabisa


Watu wangu kwani kuna kosa nimefanya????



