Kuweni makini wanaume mwenzangu!

Kuweni makini wanaume mwenzangu!

Mwanamke wangu Alinipigia simu! Hello baby, nina njaa sana muda huu
samahani unaeza kuja kwangu muda huu , na wakati unakuja naomba unijie na kuku

Bila kupoteza muda Nilianza kutafuta pahala wanauza kuku & Nilinunua mkubwa kabisa nikaenda nikenda kwa mpenzi wangu

Alianza kumgawanyisha vipande, akatoa vipande viwili akawa anavichemsha na vingine akaviweka kwenye friji

Wakati tumekaa zetu kuku anaendelea kuiva.....

Ndani ya dk 10 wakati kuku anachemka jikoni, simu yake ikaita akaingia chumbani kwenda kuongea na simu

Baada ya kupokea simu, aliniambia kaka yake anakuja na hatofurahi akinikuta pale so nimpishe kidogo

Akanisisitiza niondoke haraka atanipigia simu kaka yake akiondoka
Kwa amani kabisa nilielekea jikoni nikashusha sufuria chini nikatoa vile vipande viwili nikaacha mchuzi mtupu,, nikafungua friji nikachukua vipande vyote alivyokuwa ameviifadhi, nikaanza safari ya kwenda kwangu
....Kuanzia jana nampigia simu kujua kama kaka yake ameondoka ama laa wala hapokei simu zangu cha ajabu ananikatia kabisa

Watu wangu kwani kuna kosa nimefanya????
Umefanya vzuri kabisa yani nakupa pongezi..... Wanawake wa shenzi kama huyo wifi yetu wanahitaji kuaibishwa kama hvo
 
nmecheka lkn umeniudhi kuacha mchuzi mkulungwa ilipaswa uweke kwenye rambo uondoke nao
 
Mwanamke wangu Alinipigia simu! Hello baby, nina njaa sana muda huu
samahani unaeza kuja kwangu muda huu , na wakati unakuja naomba unijie na kuku

Bila kupoteza muda Nilianza kutafuta pahala wanauza kuku & Nilinunua mkubwa kabisa nikaenda nikenda kwa mpenzi wangu

Alianza kumgawanyisha vipande, akatoa vipande viwili akawa anavichemsha na vingine akaviweka kwenye friji

Wakati tumekaa zetu kuku anaendelea kuiva.....

Ndani ya dk 10 wakati kuku anachemka jikoni, simu yake ikaita akaingia chumbani kwenda kuongea na simu

Baada ya kupokea simu, aliniambia kaka yake anakuja na hatofurahi akinikuta pale so nimpishe kidogo

Akanisisitiza niondoke haraka atanipigia simu kaka yake akiondoka
Kwa amani kabisa nilielekea jikoni nikashusha sufuria chini nikatoa vile vipande viwili nikaacha mchuzi mtupu,, nikafungua friji nikachukua vipande vyote alivyokuwa ameviifadhi, nikaanza safari ya kwenda kwangu
....Kuanzia jana nampigia simu kujua kama kaka yake ameondoka ama laa wala hapokei simu zangu cha ajabu ananikatia kabisa

Watu wangu kwani kuna kosa nimefanya????
Umetuwakilisha vyema hakika.
Biashara ya kupangwa foleni ife kabisa.
Huyo aliyekuwa anakuja ni mlipa kodi ama naye huwa mtoa dau kubwa.

Ninawalaani sana wanawake wanaotupanga makusudi.
Huyo mwanamke ni kahaba
 
Mwanamke wangu Alinipigia simu! Hello baby, nina njaa sana muda huu
samahani unaeza kuja kwangu muda huu , na wakati unakuja naomba unijie na kuku

Bila kupoteza muda Nilianza kutafuta pahala wanauza kuku & Nilinunua mkubwa kabisa nikaenda nikenda kwa mpenzi wangu

Alianza kumgawanyisha vipande, akatoa vipande viwili akawa anavichemsha na vingine akaviweka kwenye friji

Wakati tumekaa zetu kuku anaendelea kuiva.....

Ndani ya dk 10 wakati kuku anachemka jikoni, simu yake ikaita akaingia chumbani kwenda kuongea na simu

Baada ya kupokea simu, aliniambia kaka yake anakuja na hatofurahi akinikuta pale so nimpishe kidogo

Akanisisitiza niondoke haraka atanipigia simu kaka yake akiondoka
Kwa amani kabisa nilielekea jikoni nikashusha sufuria chini nikatoa vile vipande viwili nikaacha mchuzi mtupu,, nikafungua friji nikachukua vipande vyote alivyokuwa ameviifadhi, nikaanza safari ya kwenda kwangu
....Kuanzia jana nampigia simu kujua kama kaka yake ameondoka ama laa wala hapokei simu zangu cha ajabu ananikatia kabisa

Watu wangu kwani kuna kosa nimefanya????
jmn nimecheka
Sikutegemea kucheka sa hivi
Duh we jamaaa noma
 
Pole sana...
Mwanamke akikuagiza mboga aimanishi ni akupikie wewe...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom