Kindimbajuu
JF-Expert Member
- Jul 8, 2009
- 710
- 248
Wakuu,
kama dk 3 zilizopita nimepigiwa simu kwa namba 0657751049 jamaa kajitambulisha kama Dr kutoka WFP kigoma. Anahitaji preserving food chemical inaitwa Gustavic liquid from Germany. The guy sound weird na mimi kwa kuwa naujua huu mchezo long way back. Na hapa jamvini pia imesharipotiwa sana. Pia namba nyingine anayodai ni ofisa Msd ni 0713925380 jina athuman pazi. Mimi nawasubiri nione mwisho wao. Update later as saga continues
Kashindwa kujieleza lakini hawa jamaa wanawapata sana watu wenye tamaa. Mfanyakazi mwenzangu bado nusu aingie mtegoni baada ya huyo jamaa anaetaka hizo chemicals kujifanya anamjua na alishawai kukutana nae kwenye project moja na kumuunganisha na Mzungu (thru mobile phone) ambaye ndio Supplier( anaejifanya) anayekubalika na Taasisi hiyo inayotaka chemicals ili anunue toka kwake kwa bei rahisi na wapeleke kwenye Taasisi ya WFP kwa kuongezea bei ili wapate faida mara mbili. Alipoambiwa atatuma dolla kwenye account namba ndio akaanza kutuuliza na kumshauri aache ****** ingawa alissisitiza hilo jina la ofisa wa WFP ni common kwake kwa sababu wanatoka sehemu moja kwao Moshi na kweli alishashiriki kwenye project moja yule tapeli anayoitaja.Mimi cjaona utapeli hapa!kwani wewe mi supplier wa chemicals au madawa?Elezea utapeli wao uko wapi ili tujihadhari,maana ninachokiona kwako ni labda ulipigiwa wrong number,na ungejibu hivyo tu.
Haina haja ya kuwaambia polisi....hao wanashirikiana nao....juzi kati hapa lija maa limemtapeli dada flani tena lilisema litakuja toka south africa kwa email....then dada akaenda kulipokea airport likidai limeshuka na ndege na kutumia namba za tanzania....likamwambia limeleta mzigo wa kumpa zawadi dada huyo afunguo saloon. Dada akaenda airport akalipokea wakaenda jivinjari hotel moja ya gharama likagharamia kama laki mbili hivi likamwambia limeleta mzigo wa milioni ishirini na atoe milioni mbili tu wakautoe mzigo huo. Pale pale dada mpaka akakopa na kuuza baadhi ya vitu vyake, akalikabidhi jamaa milioni mbili lifuate mzigo.......weeeee jamaaa limetokomea na namba haipatikani....
he! Nilidhani ni braza wangu papaa msoffe karudia tena utapeli maana siku hizi ameokoka
angalau.....Jamaa wanakupa details zako zoote na wanakujua kila kitu...then wanakuingiza mkenge wako so smart ila kwa sasa nadhani wamepunguza sana maana watu wengi wameshalizwa na habari zimesambaa
sio bure,hawezi kuokoka tu hivihivi.huyu lazima kuna jambo la kiafya alikumbana nalo.wakat fulani mkongoman mmoja aliniambia kuwa anauguwa kisukari.wale wakongoman wa FM academia sijui watapata wapi pesa ya ''MABANGA''(kutaja majina ktk wimbo).he! Nilidhani ni braza wangu papaa msoffe karudia tena utapeli maana siku hizi ameokoka