trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
Hahahahaha ......... mi niliwaendea na polisi na kuwakamata wote mwaka jana mwezi wa kumi mana nlikua nishapata info. siku nyiiingi humu humu jamvini.
Si mbaya kutujuza ulifanikiwa kwa kiasi gani maana na mm nilitaka kufanya hivyo nikaambiwa na polisi wamo nitapoteza mudaHahahahaha ......... mi niliwaendea na polisi na kuwakamata wote mwaka jana mwezi wa kumi mana nlikua nishapata info. siku nyiiingi humu humu jamvini.
Si mbaya kutujuza ulifanikiwa kwa kiasi gani maana na mm nilitaka kufanya hivyo nikaambiwa na polisi wamo nitapoteza muda
Shukranyawezekana!!! mimi nilitaka wanijuze kua namba yangu ya simu waliipata wapi,walipokea kichapo sana kutoka kwa polisi lkn hawakutaja badae niliamua kuondoka na kuwaachia polisi mana niliona wananipotezea muda na nilisharidhika na kibano walichopata kutoka kwa polisi .........
Mimi nilichonga nao kuanzia mpambe aliyejifanya ananifahamu hadi kwa bosi wao mdhungu kwa siku mbili. Hadi wakasafari(ki-magumashi) na ndege ya kukodi toka Kasulu hadi Dar. Nikaenda Shelys kukutana na supplier then NIKAMUMBIA MSHKAJI amabaye alikuwa nadhifu kwamba hii biashara noma tafuta shughuli nyingine ya kufanya hapa mjini( nikamwambia nakusamehe kama JK alivyowasamehe wazee wa EPA) jamaa akasema kwa kifupi tu eti duh poa bro! ,nikampigia simu yule mchonga mchongo nikampa maneno naye akasema poa mshikaji. Nikaachana nao! They are smart but not smarter!