Kuweni makini na vifurushi vya Airtel

Kuweni makini na vifurushi vya Airtel

GB1 ni siku tatu sio wiki na ni elfu moja.
Niliweka bundle la 1GB siku tatu saa tano usiku dakika 3.Kufika saa 6 usiku napata message bundle lako la siku 3 limekwisha.Nikachanganyikiwa.
Nikaamua kuuliza salio kupitia *149*81# then salio nikaona salio liko sawa.
Nikapata reason kuwa ni autoreply message saa sita usiku simu ina assume ni siku mpya.
Nawashauri airtel rekebisheni hili based on 24hrs×3=72hrs ndio ije msg bundle limeisha.
Otherwise airtel is best msiwapake matope.
Nilitaka kufungua uzi kwa hili lakini kupitia hapa nimeona nitoe ushahidi wangu
KUNA WATU WANABISHANA NA SIMU SASA KAMA UNALIWA KWA SIKUTATU SI TUNATUMIAGA KWA WIKI
Screenshot_20191116-220114.png


KILA.MJANJA NA.MJANJA WAKE
 
GB1 ni siku tatu sio wiki na ni elfu moja.
Niliweka bundle la 1GB siku tatu saa tano usiku dakika 3.Kufika saa 6 usiku napata message bundle lako la siku 3 limekwisha.Nikachanganyikiwa.
Nikaamua kuuliza salio kupitia *149*81# then salio nikaona salio liko sawa.
Nikapata reason kuwa ni autoreply message saa sita usiku simu ina assume ni siku mpya.
Nawashauri airtel rekebisheni hili based on 24hrs×3=72hrs ndio ije msg bundle limeisha.
Otherwise airtel is best msiwapake matope.
Nilitaka kufungua uzi kwa hili lakini kupitia hapa nimeona nitoe ushahidi wangu
Mk wengone tinatumia kwa wiki HAOO wanakupiga inawezekana wameona unatumia sana wakazima ile req ya wiki KWAKO haka kamchezo kako tigoo
 
Ukiweka Bando hutakiwi kuwa na ugomvi na MTU! Hapo ndio ulikosea kuanza kujibishana na WiFi yenu.. .
 
Hawa Airtel nimewachoka yaniii nikijiunga line yangu wananipa MBs zinafanya kazi WhatsApp na Instagram tu.. kwingine kote holaa
Nimewapigia nimechoka line nshaiweka Kando😏
 
Hata voda wanaotea,juzi nimenunua kifurushi GB1,
nikacheki tu kama crips tano za MB40,naambiwa kifurushi kimeisha nikawahi kucheki salio la hela iliyobaki nione imeliwa nikaikuta,
nikarudi kuperuz tena kisha nikacheki salio,nikakuta halijaliwa,
sasa nikajiuliza kwanini wamenitumia msg kuwa kifuruashi kimeisha?,au walikuwa wananiotea kuniibia na sasa walipoona nimecheki salio wakashituka na kuacha,
na hata hivyo niliperuzi kidogo tena kikawa kimeisha ila ukipiga hesabu MB 1000 inaishaje rahisi vile,
 
GB1 ni siku tatu sio wiki na ni elfu moja.
Niliweka bundle la 1GB siku tatu saa tano usiku dakika 3.Kufika saa 6 usiku napata message bundle lako la siku 3 limekwisha.Nikachanganyikiwa.
Nikaamua kuuliza salio kupitia *149*81# then salio nikaona salio liko sawa.
Nikapata reason kuwa ni autoreply message saa sita usiku simu ina assume ni siku mpya.
Nawashauri airtel rekebisheni hili based on 24hrs×3=72hrs ndio ije msg bundle limeisha.
Otherwise airtel is best msiwapake matope.
Nilitaka kufungua uzi kwa hili lakini kupitia hapa nimeona nitoe ushahidi wangu
Asante mkuu, kwenye suala la bundle kwa sasa airtel ni mtandao bora hapa nchini, nautumia mtandao huu toka mwaka 2010 sijawahi ona drawbacks tena kwa sasa una 4G airtel iko mwake!
 
Airtel hata wakikwambia umepata dk kadhaa usiwaamini hata, utaongea kiduchu mara dk zimeisha
 
Habarini za jioni,

Asubuhi ya kuamkia jana nilipata mshtuko kidogo. Jana yake jioni niliweka bundle la wiki la GB 1 nikachat na JF na WhatsApp kidogo, usiku nikajibishana kidogo na wifi yenu nikalala.

Na nimezima data..nawasha simu asbh nijibu message; kha!, naambiwa bundle lako la GB1 la siku limeisha. Aisee nikawapigia wakasema ni kweli inaonyesha bundle limeisha GB1, nauliza mbona nimechukuwa cha wiki na sija-download ama kufanya kazi ya kutumia data? Na je, mbona naambiwa bundle lako la siku limeisha na sijajisili la siku?

Dah japh boy akanjibu kaka naomba watakupigia kujua shida iko wapi ndani ya masaa 24.

Ghafla nikatumiwa tiketi ntapigiwa simu, hivi sasa inaelekea masaa 48 aisee!

Leo nikamua kujiunga tena nikawapigia inasoma GB ngapi, wakataja nikasema jana mmenifanyia uhuni ngoja tumonite na hizi kama zitaondoka.

Nawatakia wote matumizi mema wanaotumia Airtel.

Nilishawahi walalamikia huko nyuma naona imeisha hii tabia.

Ukiwa una 2100 unajiunga kifurushi, inagoma na ni kifurushi cha 2000. Ukiwapigia wanakwambia hawaelewi tatizo, embu ongeza za 500.

Kweli nikiongeza kinakubali cha 2000 na salio linabaki, sijui why. Tigo kama una 2000 unaweza jiunga cha 2000 kama una 10000 unaweza jiunga haitaji addition yoyote.

Kituo kinachofuata Serikali za Mitaa. Tukutane 2..Nov.

Ebwana hili hata mimi limenitokea nikawapigia majibu hayo hayo sema baadaye automatic likawa limeanza kufanya kazi. Pia huwa natumia WiFi mazingira fulani nadhani wanashida hawa watu
 
Back
Top Bottom