Kuweni Makini na Tigo

Kuweni Makini na Tigo

Hii K inasimama badala ya nn? au K*u*m*a..?
Duh..tabu kwelikweli
K zipo mbili ipi sasa ya Miss k inawakilisha my really surname na ile 3k inawakirisha Laki 3
Pole ,pls try kuwa mstaarabu tumia lugha ya heshma hata kama ujui nani unaongea naye unashusha P yako bila sababu ni hayo tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Pole ila kama ni wakala mzoefu lazima uangalie muamala unaokuja katika simu yako maana una tarehe mwaka na mwezi pia. Na ukipokea msg sio unatoa pesa apo apo lazima usibiri uone mabadiliko huu wizi kweli upo pole sana jamani nikuwa makini ukiona kitu auelewi piga huduma kwa wateja wakuangalizie kama huo muamala upo au mwambie mteja aende tigo wamrudishie iyo pesa kuliko wewe kutoa ukapata hasara ata mimi ilishatokea iyo

Sent from my BlackBerry 9900using JamiiForums
 
Ahsante..yaani ni kifo cha nyani tu,nimeangalia salio langu limeongezeka kiasi kile kile alichoingiza ndio maana nikashawishika kumpa yaani hadi senti,walikuwa wanajua kiasi kilichomo kwenye a/c yangu waka add laki 3.
Nafikiria kuachana na hii biashara naona kama unawafanyia watu tu,ni Risk saana kufanya biashara bila security

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Duh..tabu kwelikweli
K zipo mbili ipi sasa ya Miss k inawakilisha my really surname na ile 3k inawakirisha Laki 3
Pole ,pls try kuwa mstaarabu tumia lugha ya heshma hata kama ujui nani unaongea naye unashusha P yako bila sababu ni hayo tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

asante Miss k... Ila pole....swala lako linaendeleaje? Uliwapeleka polisi? Manake polisi wa bongo wana intelejensia kubwa sana kuhusu uhalifu mitandaoni..hivi wameshakamata wangapi kuhusu ile ishu ya kutukanwa spika na mdogo wake?
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni mjasilia mali nafanya biashara ya kuweka na kutoa pesa I.e Tigo pesa,M-pesa,airtel money
Leo amekuja mtu ametaka toa pesa 3k nimemtolea baada ya sms kuingia kwenye simu yangu na salio kuongezeka lakini baadae nikagundua nimepigwa !!!nikawapigia tigo kuwaeleza kwamba sms imeingia kutoka tigo pesa wakasema hii haikutoka kwao baada ya kuichunguza sms nikaona center # inaanzia +46707990020
Chakushangaza namba yangu aliijuaje? Hadi sms kunifikia?
Naomba wezangu muwe makini lakini bado sina imani na baadhi ya wafanyakazi wa tigo kwa namna moja lazima watakuwa wanausika ,hamna anayeweza kujua salio lililopo kwenye simu!!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Tusisahau kuwa tuna Tcra fika pale ubungo peleka malalamiko yako compn ishkshwe adabu ndo itajua aina ya wafanyakazi walionao. Nawachukia hao watu toka ck ya kwanza kuoparet,cwapend ndio maana cjawah wapa hata shn kum yangu.
 
Mimi ni mjasilia mali nafanya biashara ya kuweka na kutoa pesa I.e Tigo pesa,M-pesa,airtel money
Leo amekuja mtu ametaka toa pesa 3k nimemtolea baada ya sms kuingia kwenye simu yangu na salio kuongezeka lakini baadae nikagundua nimepigwa !!!nikawapigia tigo kuwaeleza kwamba sms imeingia kutoka tigo pesa wakasema hii haikutoka kwao baada ya kuichunguza sms nikaona center # inaanzia +46707990020
Chakushangaza namba yangu aliijuaje? Hadi sms kunifikia?
Naomba wezangu muwe makini lakini bado sina imani na baadhi ya wafanyakazi wa tigo kwa namna moja lazima watakuwa wanausika ,hamna anayeweza kujua salio lililopo kwenye simu!!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ila hapo dada uwachunguze hata watu ulio karibu nao kwasababu mtu kujua number yako ya simu sio issue,It can happen,penye nia pana njia
Fanya uchunguzi dada unaweza ukakuta sio Tigo wala nini
 
Mimi ni mjasilia mali nafanya biashara ya kuweka na kutoa pesa I.e Tigo pesa,M-pesa,airtel money
Leo amekuja mtu ametaka toa pesa 3k nimemtolea baada ya sms kuingia kwenye simu yangu na salio kuongezeka lakini baadae nikagundua nimepigwa !!!nikawapigia tigo kuwaeleza kwamba sms imeingia kutoka tigo pesa wakasema hii haikutoka kwao baada ya kuichunguza sms nikaona center # inaanzia +46707990020
Chakushangaza namba yangu aliijuaje? Hadi sms kunifikia?
Naomba wezangu muwe makini lakini bado sina imani na baadhi ya wafanyakazi wa tigo kwa namna moja lazima watakuwa wanausika ,hamna anayeweza kujua salio lililopo kwenye simu!!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Nigerians hao wamewaliza wengi sana kwa mtindo huu. Walichofanya hawa jamaa ni kwamba wametengeneza matandao wao kama Country Code Binafsi kisha wamelink na namba za watu. Ukiangalia country codes 460, 467 hazipo katika orodha ya country codes za nchi zozote hapa duniani. TCRA watatoa jibu sahihi ya ni wako wapi hao. Nilishapata majeraha na Wanigeria wakijifanya ni Barclays Bank kwamba kuna form nilitakiwa kujaza kama mrithi wa jamaa mmoja toka Senegal namba za Country Code wanacheza nazo hizi hizi.
 
Mimi ni mjasilia mali nafanya biashara ya kuweka na kutoa pesa I.e Tigo pesa,M-pesa,airtel money
Leo amekuja mtu ametaka toa pesa 3k nimemtolea baada ya sms kuingia kwenye simu yangu na salio kuongezeka lakini baadae nikagundua nimepigwa !!!nikawapigia tigo kuwaeleza kwamba sms imeingia kutoka tigo pesa wakasema hii haikutoka kwao baada ya kuichunguza sms nikaona center # inaanzia +46707990020
Chakushangaza namba yangu aliijuaje? Hadi sms kunifikia?
Naomba wezangu muwe makini lakini bado sina imani na baadhi ya wafanyakazi wa tigo kwa namna moja lazima watakuwa wanausika ,hamna anayeweza kujua salio lililopo kwenye simu!!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wizi wa namna hii hauhusiani hata na makampuni ya simu bali ni wajanja wachache wanakuja wanao fanya survey kwenye hizo centre zenu za kutoa huduma ya pesa then wanaandika the same SMS kama ya TIGO pesa kwa kutumia software maalumu zinaweza kumfanya mtumaji achagua jina analotaka like tigopesa,mpesa,ikulu..nk then wanachofanya mmoja anakua sehemu na laptop yake na internet then wanawasiliana kwamba nipo kwa wakala mwenye number hiii na nataka kutoa kiasi fluna then yeye anagenerate mesage na kuituma kwa wakala na kwa mteja ...ndo game zao....Kuna mambo sana kwenye techno;ojia kama huyajui unaweza laumu watu bureeeee.......consider SMS spoofing
 
Back
Top Bottom