Goodrich
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 2,091
- 1,179
Kuna wimbi kubwa la bidhaa fake hasa vifaa vya simu.
Unaweza kununua simu yako nzuri tena kwa gharama kubwa lakini ukaishia kupata kero katika matumizi sababu tu ya SD card fake.
SD card fake husababisha simu kuwa slow, kustuck marakwamara, kufuta apps na data, kuharibu system apps, na mara nyingine utaona ujumbe 'sd card removed unexpectedly'
Suala hili limeshagharimu na kusumbua watu wengi. Nami ni mmojawapo.
Tuwe makini katika kununua sd card. Na namna bora ya kupata original SDs ni kununua kwa mawakala waliothibitishwa.
Lets share this alerting msg..