Kuweni Makini na HGs

Kuweni Makini na HGs

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,438
Reaction score
100,721
Huyu HG baada ya kuchoka kumbembeleza akaamua amtulize kwa style ya pekee maana dogo alikua anapenda sana mgongo. Tuwe makini na hawa mabinti jamani

House Girl.jpg

Heri kama vipi uwabebe mwenyewe kama vipi ili uwe katika safe-side kama mama huyu hapa

Heri uwabebe tu.jpg
 
Picha ya kwanza inasemekana ni tukio la kweli kabisa
 
Back
Top Bottom