Kuweni makini na biashara ya Bitcoin

Kuweni makini na biashara ya Bitcoin

Msaada wakuu nataka kujua wallet ambayo mtanzania anaweza kujiunga kirahisi
 
China wameishaipiga marufuku tayari.Russia nayo iko mbioni kufunga mitandao yote inayojihusisha na biashara hiyo.

Kwa wale waliowekeza huko ni vizuri wawe makini wasiache ela yao nyingi huko maana inaweza kula kwao.
UPDATE
Russia wamekubariana watengeneze mfumo wa ku monitor cryptocurrence, hivyo basi hawataifunga bali watakuwa wanamonitor kila kitu kuzia udanganyifu na kutumika katika shughuli haramu
Najiuliza watamonitor vipi kwa sababu cryptocurrency transactions are not meant to be centralized or monitored, they are p2p.
 
Back
Top Bottom