Kuweni makini na atm kwani....................................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuweni makini na atm kwani.......................................

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Jun 10, 2011.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Jamani leo kidogo yanikute,Nimekwenda kutoa pesa kwenye ATM,ya bank ya NMB maeneo ya chuo cha uhasibu[TIA] karibu na kambi ya jwtz,nilitaka kutoa 250,000,nikafanya kama inavyotakiwa,nikasubili ili zitoke na nikasikia jinsi zinavyojichanga[jihesabu]Cha ajabu hela sikuziona inatoka risiti na inaonyesha sms,kuwa huduma 'IMEKAMILIKA'Kwa kweli sikutoka pale nikaa nazisubili,nikasababisha foleni kubwa,ndipo akaja mjeshi mmoja anataka kutumia nguvu nitoke!nikamwambia bwana mimi hizi mashine nazijua bado tunabishana ndio zile pesa zinatoka!ikabidi aone aibu,nikawa nimekula point 3 zangu.Hivyo natoa wito mala nyingi unapokwenda kutumia ATM, kama pesa haikutoka angalia ile sms ya kwenye risiti,kama IMEANDIKWA HUDUMA HAIJAKAMILIKA usiwe na wasiwasi,ila KAMA IMEANDIKWA HUDUMA IMEKAMILIKA kuwa makini unaweza ukaondoka mtu anayeingia badaa yako akazipata hizo pesa na BANK hawatakubali,kwani zitaonekana zimetoka;ila kama utapata sms huduma haijakamilika we rudia tena ikigoma nenda zako,hakuna tatizo we tunza tu hii risiti yako waendee utapata haki yako.:welcome:
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Soma yaliyomkuta mchungaji

  https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/143802-national-microfinance-bank-nmb-atms-2.html#post2081074
   
Loading...