Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,005
- 142,608
Tutakuwa tunawakosea sana heshima vijana na watoto wetu waliomwaga damu zao.word, hata mimi nimelishtukia hilo, angalia kumteua mwanawe hii yote ni kuwatoa relini …
Wangekuwa wanafikiri kama wewe wangefanya tofauti, wanachoonyesha ni kwamba hawajali kelele za watu, ni kama wanataka headlines kwa nguvu na tunawapa kuliko redio uhuru.Hilo la kumtuea mwanae kuwa Naibu Waziri, kumechochea hasira za watu na litaamsha hata wale wenye vichwa vigumu.
Hatoki mtu hapa nje ya reli... D9 ipo palepaleWe have to make her pay for all the blood she spilled.
Hata Farao alikuwa kama wao.Wangekuwa wanafikiri kama wewe wangefanya tofauti, wanachoonyesha ni kwamba hawajali kelele za watu, ni kama wanataka headlines kwa nguvu na tunawapa kuliko redio uhuru.
Vizuri sana.Hatoki mtu hapa nje ya reli... D9 ipo palepale
Same here.Mimi nimeona uteuzi alioufanya ndo kwanza umezidisha hasira kwa wananchi. Hawa watu hizi akili sijui wamezitoa wapi aiseee.
hata mimi sijaangalia, sitaki kusikia sauti yake kabisa....nimeenda tu kuchungulia listMimi sijaangalia hata huo utangazaji wa hao mawaziri haramu.
Watu wengi wamekuwa wanasukuma taarifa zao kuliko hata uvccm au redio uhuru, wamekuwa media zao za bure wakidhani inawabomoa kumbe inawapa uhalali zaidi.Naona baadhi yenu mko excited na huyo Samia kutangaza baraza lake haramu la mawaziri.
Binafsi sina muda wa kuzungumzia na walio haramu wanajipa vyeo gani halafu nikasahau maelfu ya vijana na watoto waliowaua kikatili sana.
Kulenga kumjadili Samia na baraza lake haramu ni kuanza kumpa uhalali [ambao hana] kidogo kidogo.
Mimi sitoki nje ya reli. Sina kumbukumbu fupi na huwa sisamehi wauaji wa makusudi.
Itapendeza sana endapo na nyie mkiachana na mambo ya hao haramu na kuongeza nguvu katika kuwawajibisha wauaji wote, wakiongozwa na Samia.
Stay focused, please. We have a genocidal maniac masquerading as president.
We have to make her pay for all the blood she spilled.
We subiri mkuu hiyo D9, this time hawataamini. Hofu yangu ni wao kuja na gia ya kusapot waandamanaji.Same here.
No!We subiri mkuu hiyo D9, this time hawataamini. Hofu yangu ni wao kuja na gia ya kusapot waandamanaji.
Wakija na hiyo gia, sijui plan B itakuwa ni ipi?