Kuwen makini!

Ningepata mme kama wewe🤔
 
 
Na siku akitombwa kwel uje kuhadithia hvhv pia
 
Nipe acc ya huyo mkenya mkuu nikatafute kodi ya frame inaishaa 😃
 
Nipe acc ya huyo mkenya mkuu nikatafute kodi ya frame inaishaa 😃
hii reply asiione Yoda au yule tajiri kibonge maan kesho tu atafungua uzi kuwasema wadada walojiajiri wanadanga ili wapate pesa ya kulipia ya frame 😅😅😅
 
Mtu kaweka prof ya kike ila ni wa kiume huyo ana matatizo na unayedate nae una tatizo kubwa zaidi kuliko yeye.
 
hii j3 sio ya blue tena, bora iishe tu kuna watu watamwaga dam humu😅😅😅
 
Hahaha, inachekesha ila Sasa akimtafuta mkeo kwa mfumo tofauti akampata akamuongezea pesa mkeo atakuambia kweli?

Maana wanawake si wa kucheza nao michezo ya kuwalengesha kwa wanaume hata kama ni kuwatapeli, linaweza tokea jambo ukashindwa kueleza kwa jamii kwanini unataka kuachana na mkeo ukabaki tu kusema mimi simtaki.
 
Hata mimi ningetafuta alternative, kama mume kanisapoti means inawezekana!
 
Na siku akitombwa kwel uje kuhadithia hvhv pia
hawezi akaniambia kama ametombwa ila nikijua na mimi ntakuja na uzi wa kulombewa wife afu pia mim sina mda wa kumchumga mwanamke hata cku na moja kuna haja gani nijitafutie mapresha na masukari nisiyoyatumia. Mwaka wa 15 kwene ndoa hatujawai kaa ati cjui ugoni na kusalitiana ndugu yangu mim sina dini lakn nna wife 3 na nikitaka kuleta lazma lipitishwe na wote kwa kauli ya kwamba tunaoa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…