Sijawahi kusikia ngoja tusubiri muongozo
kumbe private wana database [emoji3][emoji3]? Nilikuwa sijui aiseeHabar zenu ndugu nina swali kuhusu kuwekwa kwenye database baada ya interview kwenye private sector.
Iko hivi, mtu kafanya interview baada ya mchujo akawa amefaulu interview ila akaambiwa kwa sasa hutaanza kazi ila baadaye tutakuita
Je, mliowahi kukaa kwenye database ilichukua muda gani kuitwa kazini?
Msaada
Mkuu kuhusu kuww na database sio muhimu wala haiwezi kuwa rasmi. Kama mtu kaambiwa atatafutwa ya nini awe na wasiwasi, akae asubiri watamuita tu.
Hakuna kitu kama hicho private sector hapo ni wamekutosa kiaina
ndio majibu yao, utayazoea tu inaonekana wewe ni mgeni kwenye kutafuta kazi,. taasisi nyingi binafsi tena za nje hazimwambii mtu amefeli usaili, wanamajibu yao flani ya kutomkatisha mtu tamaa ila ndio hivyo wanakuwa wameshakutemaMbona waliniambia nimefaulu usahili
Huna moto huna nguvu..
Kuhusu sekta binafsi kitu kikubwa zaidi cha kujua ni wamepewa mamlaka ya kujitengenezea sheria zao ndogo ndogo ambazo hazikinzani na katiba ya nchi.
Kuwa au kutokuwa na kanzi data na namna ya kuiendesha sio takwa la kisheria bali ni maamuzi binafsi ya kampuni husika. Kwa maana hiyo, zipo kampuni zenye kanzi data na zipo ambazo hazina.
Hata hivyo ni nani yuko kanzi data, na ni muda gani wanaita mtu aliyeko kwenye kanzi data huwa inategemea na utaratibu wa kampuni husika, japo mara nyingi ni kumuita mtu pale wanapokuwa na uhitaji.
Mimi nawafahamu watu waliowahi kufanya interview sekta binafsi na wakapigiwa simu baada ya miezi zaidi ya sita na kuambiwa endapo bado wana uhitaji na ajira waende kuripoti kazini.
ndio majibu yao, utayazoea tu inaonekana wewe ni mgeni kwenye kutafuta kazi,. taasisi nyingi binafsi tena za nje hazimwambii mtu amefeli usaili, wanamajibu yao flani ya kutomkatisha mtu tamaa ila ndio hivyo wanakuwa wameshakutema
ndio majibu yao, utayazoea tu inaonekana wewe ni mgeni kwenye kutafuta kazi,. taasisi nyingi binafsi tena za nje hazimwambii mtu amefeli usaili, wanamajibu yao flani ya kutomkatisha mtu tamaa ila ndio hivyo wanakuwa wameshakutema
Uwe unaelewa, kampuni au shirika sio la baba yako.Muda huu mwezi wa tatu sasa
Acha kulazimisha isiyowezekana kuwezekana, hapo andika maumivu tuu.Mbona waliniambia nimefaulu usahili
Acha kulazimisha isiyowezekana kuwezekana, hapo andika maumivu tuu.