Kuweka simu sehemu za siri na kwenye Matiti

Pinokyo Jujuman

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
552
104
Habari, niliwahi sikia ya kuwa kutumia internet kwa computer na kuiweka Computer mapajani ni hatari sana kwa wanaume inapelekea upungufu wa nguvu za kiume.

Pia kuna hatari kwa Wanawake kupata kansa ya Matiti wawekapo simu kwenye Matiti.

Swali langu la msingi ni je hatari hii ipo pia kwa wale watumiao internet kwenye simu au matumizi ya kawaida ya simu wawekao maeneo ya sehemu za siri(Wanaume) hasa pale waendeshapo magari hupenda kuiweka kwenye kiti katikati ya mapaja?

Nawasilisha kwa Msaada wa kina!!
 
Back
Top Bottom