Kuwaza ngono kunapunguza miaka?

Nimeipenda hii! Duh, kuna watu wameanza kuwaza ngono toka wanakuwa breast fed! Angetoa na formula, i.e kama rate ya kuwaza ngono na rate ya kupungua miaka. Great Thinker mmoja atusaidie, mie hesabu nlikua napata za kutosha ku-sail through tuuu!
 
tangu asubuhi nimetamani Ngono zaidi ya mara tano kwa wanawake tofauti...bahati mbaya kazi yangu mpya hapa mapokezi inanifanya nipokee watu wakila namna, kweli bado najiuliza namna umri wangu utakavyopungua sambamba na akili zangu.
 
kwikwi pitia kabisa Funeral house uchague sanduku na hata last words tuandikeje! teh teh teh teh teh teh teh:D
 
tangu asubuhi nimetamani Ngono zaidi ya mara tano kwa wanawake tofauti...bahati mbaya kazi yangu mpya hapa mapokezi inanifanya nipokee watu wakila namna, kweli bado najiuliza namna umri wangu utakavyopungua sambamba na akili zangu.

Nakushauri ukafanye research ya mahitaji yako ya kuelekea huko kunako kuhitaji baada ya kufikiria sana juu ya ngono.
 
ni kweli kama unawaza halafu hupati inakufanya unapata stres lkn kama unawaza na unapata una muda mrefu duniani
 
tangu asubuhi nimetamani Ngono zaidi ya mara tano kwa wanawake tofauti...bahati mbaya kazi yangu mpya hapa mapokezi inanifanya nipokee watu wakila namna, kweli bado najiuliza namna umri wangu utakavyopungua sambamba na akili zangu.
jizaz!kweli nguvu ..... mali!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom