Doh!
Nakuonea wivu sana mdogo wangu
Yawezekana hauna kazi ya kufanya,tafuta kazi ya kufanya uwe busy muda mwingi utaona kama utawaza mambo hayo,pole sana ila jiongeze.Hivi mtu ukiwa unaweza mapenzi kila mda kila siku tatizo ni nini na hli tatizo limenianza sina mda mrefu sijui shida ni nini, naombeni ushauri wenu na pia kama kuna mtu anaelewa dawa yake pia anaweza kunisaidia.
maana wengine tuna majukumu kiasi cha kwamba kuwaza mapenzi ni kama vile tunavyosubiria bombadia yetu ya Canada!Kwann bro
Karibu CHAPUTA hayo yote yataishaNi barehe tu hiyo kiongozi. Punde yataisha. Kwa sasa jiepushe na punyeto, itakuongezea mawazo ya mapenzi.
Mapenzi hayaepukiki ndg utayakazia kwa muda tu suluhisho ni mke tupole mkuu..tafuta wife tu au fanya kazi nyingine hasa ngumu isikufikirishe mapenzi
sawaMapenzi hayaepukiki ndg utayakazia kwa muda tu suluhisho ni mke tu