Mkuu pambano litakuwa saa ngap masaa ya kwetu bongo?
Ile dunia inajua promo bana.....
Ni kituo gani cha tv hapa bongo kitaonesha pambano hili?
OK Man! Thanks. Ni uvivu tu wa akina startv, itv, tbccm nk.kibongo bongo hkn..mpk kwny DSTV
litakuwa alfajiri ya kuamkia jumapili. saa 9 alfajiri
litakuwa alfajiri ya kuamkia jumapili. saa 9 alfajiri