nilioga,wakat najipaka lotion pia nika sray,ni mara moja hyo hadi leo nawashwa,sio kwamba najipulizia kila siku,huenda una allergy. jaribu kubadili perfume au uache kabisa ili utumie 'anti persistant roll on'. pia usipende kujipulizia bila kuoga kwanza.
wakuu nimekua na tatizo toka mwaka 2010,nilinyoa makwapa na baada ya kuoga nilijipulizia perfume,toka siku hyo makwapa yanawasha sana,yaan nakua uncomfortbl,haipiti dakika 3 inatokea muwasho.Naomba kwa anaejua dawa anisaidie kunielekeza