Ok i do again.
Nikiwa mdogo abt 15 hv nilianza punyeto, what i thank is that it wasn't that chronic, yaan ilikuwa labda mara 1 kwa mwezi au hata mwezi unapita cjafanya. So haikuwa ile ya kila siku.
Pa1 na mambo mengine ninaamini kinachonisumbua mim ni hisia kali nilizo nazo. Yaani nikishikwa sehemu yoyote nahisi dah sijui nisemeje. Naweza kuwa nachezewa nikahisi kama uume umejam hivi, yaani kama nimebanwa mkojo lkn si mkojo. Nikizama ndani nakuwa kama nimechanganyikiwa na hali ya kweny k..a, najikuta nashindwa kujizuia nakuishia kumwaga tu.
Kuna wakati nilikuwa nachukua tako tatu au nne kufika mwisho. Ila baadae nikajibana sana na kusogoe dak, mpaka 2,3 au 4.
Ila kuna siku ilitokea kama muujiza na nilifurahi sana, niliweza vuta mpaka dak 20 siku hiyo ndio iliokuwa mara ya kwanza kusikia utamu wa tendo. Baada ya hapo ee nkarudi mavumbini.
Ila kuna style moja nikiifanya huwa naweza vuta muda kidogo, mwanamke analala chali kisha nanyanyua miguu yake anakuwa ametengeneza nyuzi 90, mim natokea kwa nyuma nikiwa nimesimama na kuizamisha, hii ndo style inanipa muda mrefu kidogo.
Huwa ninajiuliza mfano kuna mwanamme mwingine anaweza kushikwa visigino na asihihisi chochote ila nikishikwa huko naweza mtoa mtu na teke la ajabu maana nahisi natekenywa.
Wadau kwa urefu ni hivo, shida yangu to mim ni kuwa overwhelmied na hisia tu.
Kuna wakati nawaza nianza kufanya mazoezi nikiwa peku nasema may be sio njia hii. Asanteni