Kuwadi anafaidika nini?

Kuwadi anafaidika nini?

Kuwadi ni ajira kama zilivyo ajira nyingine.. Wanatusaidia sisi watu wenye heshima zetu ambao umri umeenda kupata mzigo kwa urahisi.
Kwa heshima zangu c jambo jema kunikuta nafukuzia videm mtaani au wake za watu.. So mda wote natembea na kuwadi wangu.. Nikumpoint mrembo kuwadi kazi yake ni kuhakikisha anafanikisha mchezo...
 
Makuwadi wanapata hela
na wanapata connections
wanafaidika na biashara nyinginezo
mfano imagine kuwadi wa Mengi au Mo atakuwaje?

ndo maana kuna kampuni rasmi za ma escorts nchi nyiingi sana

anakuwepo agent..ukimtaka Wema au Wolper unaletewa

hapa Tz zamani kulikuwepo na makuwadi kwenye circle ya miss Tanzania
na ma fasshion designer wanalipwa hadi milioni moja kwa mdada mmoja tu

ukuwadi ni biashara ya siku nyiingi sana na ni biashara kubwa

ukuwadi upo hadi kwenye siasa na biashara zingine

kwani wapiga debe si ni makuwadi pia?
madalali je?
 
The Boss madalali si makuwadi!! Kodofan vitani wanaojificha ni wale walio wa vyeo vya chini ila Majenerali hujulikana walipo kwani wao ndiyo wapiganisha vita!!
 
Navojua miye ni kuwa; Ukuwadi nao ni dili ka madili mengine tu. Hakuna ukuwadi wa bure. Anataka kazi flan basi atamkuwadia mtu ili apewe hiyo kazi.
Zaidi saana huyu huwa mtaalam zaidi ya anaye kuwadiwa. Kuna wakati kuwadi huanza kuchovya akampelekea makombo. Ila, ni dili mbovu kuliko zote duniani ndo maana si wengi
 
Bora wewe mwenyewe ukamchukua kuliko kumkuwadia mtu.
Faida kwa kuwadi anaona sio vizuri demu mkali akachukuliwa na mtu mwingine wakati unajua kabisa mshkaji wake ana huo ugonjwa wa kupenda penda.
 
mangatara kwa ivo kumbe makuwadi wana viwango? Yaani wapo wale wa Uwanja wa fisi na wapo wale wa Warembo walio kwenye chat?
 
Makuwadi wanapata hela
na wanapata connections
wanafaidika na biashara nyinginezo
mfano imagine kuwadi wa Mengi au Mo atakuwaje?

ndo maana kuna kampuni rasmi za ma escorts nchi nyiingi sana

anakuwepo agent..ukimtaka Wema au Wolper unaletewa

hapa Tz zamani kulikuwepo na makuwadi kwenye circle ya miss Tanzania
na ma fasshion designer wanalipwa hadi milioni moja kwa mdada mmoja tu

ukuwadi ni biashara ya siku nyiingi sana na ni biashara kubwa

ukuwadi upo hadi kwenye siasa na biashara zingine

kwani wapiga debe si ni makuwadi pia?
madalali je?

Mkuu The Boss;
Naomba nitofautiane nawe kidogo kwa habari za Udalali. Dalali si kuwadi. Atakuwa kuwadi pale yeye anapotumia utaalam wake ili apate sehemu ya hiyo biashara ajiendeleze kwa mtaji wako.
Makuwadi wengi hukuwadia mwanamke kwa mwanamume. Yawezekana, umempenda mke wa mtu. Kumpata si rahisi kwa sababu ana lindwa, hivyo unamtumia yule msusi wake unamlainisha kwa kumpa kitu yeye anakusaidia kuongea ukikubaliwa una arenjiwa mpaka chumba kule nyuma ya saloon hivyo weye unajibanza mle kumngojea. Akifika, hakuna tena kutongozana kwani anajua kilichomleta pale.
Dalali mara nyingi hukuuza kwa unayetaka kuungana naye kibiashara unamlipa percent yake. Viongozi wengi wamekuwa madalali kwa kudai percent kwenye dili za serekali. Hao si makuwadi. Ila yawezekana akawepo kuwadi, mkuu flan anamtamani mwanamke flan, unatumwa kwenda mtengenezea boss mechi. Huo ndo ukuwadi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom