Ibn Unuq JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 5,508 Reaction score 10,086 Mar 20, 2026 #41 Surya said: Kufanya jambo fulani, kwa nguvu ya ajabu isio onekana kwa macho, wala kuweza kuthibitishwa kwa uchunguzi wa kisayansi. Click to expand... Kama jambo haliwezi kuonekana, kupimika au kuelezeka kwa namna yeyote ile, Halipo.
Surya said: Kufanya jambo fulani, kwa nguvu ya ajabu isio onekana kwa macho, wala kuweza kuthibitishwa kwa uchunguzi wa kisayansi. Click to expand... Kama jambo haliwezi kuonekana, kupimika au kuelezeka kwa namna yeyote ile, Halipo.
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 10,001 Reaction score 16,217 Mar 20, 2026 Thread starter #42 Ibn Unuq said: Kama jambo haliwezi kuonekana, kupimika au kuelezeka kwa namna yeyote ile, Halipo. Click to expand... Unaamini Sayansi na Macho yako tu. Oky you are right
Ibn Unuq said: Kama jambo haliwezi kuonekana, kupimika au kuelezeka kwa namna yeyote ile, Halipo. Click to expand... Unaamini Sayansi na Macho yako tu. Oky you are right
Ibn Unuq JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 5,508 Reaction score 10,086 Mar 20, 2026 #43 Surya said: Unaamini Sayansi na Macho yako tu. Oky you are right Click to expand... Kuamini ni kukubaliana na kitu hata kama huna uhakika. Mimi siamini, Naelewa.
Surya said: Unaamini Sayansi na Macho yako tu. Oky you are right Click to expand... Kuamini ni kukubaliana na kitu hata kama huna uhakika. Mimi siamini, Naelewa.