Kuwa TISS na kuacha kazi

Status
Not open for further replies.

Chifunanga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
290
98
Hivi wadau,
Ukiwa UWT hauruhusiwi kuacha kazi?

Maana kila ikipostiwa thread humu jamvini (mfano: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/114172-hotuba-ya-rais-tiss-na-jf.html)

ambayo inawalalamikia hawa jamaa, wanajitetea na kuwa hata wakitoa ushauri hawasikilizwi.

sasa kama hamsikilizwi si muache kazi?.....au mnaogopa nini?.....maana sidhani kama mshahara (halali) ni mwingi kiasi hicho.

Nadhani katika mafunzo yenu mnafundishwa na jinsi ya kuandika report na kuhakikisha inafanyiwa kazi....kama hamfundishwi hiyo, basi kuna haja ya kurudi shule kusoma the psychology of suggestion.

Kama mabomu yamelipuka tarehe 16, halafu mtu kaandika tarehe 17 halafu we ukamsahihisha, sidhani kama atakataa kukusikiliza.....akikataa basi fanya moja ya mambo hapo juu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom