Emancipate yourselves from mental slavery, none but ourselves can free our minds!-Bobmkuu kuna uzi kama huu niliupitiaga nikakaa chini nikaufanyia kazi mkuu umelipa sana.Kuliko kujenga nyumba ambayo utapangisha watu chumba elfu 30-60 chumba kwa mwezi ni bora kufuga kuku mia kwenye hicho chumba nikiwa na maana kuwa ukiwa na ukuku mia una uhakika wa mayai 20 kila siku sasa yai moja la kienyeji ni 500 * 20= 10,000 so kwa mwezi una uhakika wa laki tatu ukitoa matunzo na usimamizi unabakiwa na 150,000( makadirio ya juu sana) sasa hapa hujapigiana kelele na mtu kachafua nyumba kabomoa mlango sijui umeme sijui kuvuta uchafu NK.Hii salio linatosha kabisa kwa familia ya kawaida kulipia bili ya umeme na maji kwa mwezi na kusukuma angalau kwa mboga kwa siku mbili tatu huku pia cku moja moja na wewe mfugaji kula mayai mara moja moja.
Emancipate yourselves from mental slavery, none but ourselves can free our minds!
Yes u can, ili ni lazima liwe na hewa ya kutosha. Lakini pia utakuwa na kazi ya kuwaletea majani mabichi kila siku pamoja na wadudu.Hiv kuku wa kienyej unaweza uka wafuga kwa Ku wafungia ndan kama hawa kuku wa kizungu" maana Nina vyumba viwili dabo vipo tupu
Mkuu upo mkoa gani??umenena ukweli mtupu
Nimeanza mwezi March na kuku 35 tu
Leo ninao kuku 120 (110 ni vifaranga na mayai tunaokota karibu 5 kila siku)
Ninaona taa ya kijani mbele maana soko ni uhakika kabisa
Maeneo ya Dar es salaam Tanzania ukifugia kwa sasa kisheria hairuhusiwi kufuga kuku kwa sababu ya uchafuzi wa hewa na kinyesi chake labda nje ya DSMNi fursa nzuri mkuu tatizo ni mahali...yani sehemu ya kuwafugia hao kuku....kwa upande wangu hyo laki 3 pengine na zaidi ninayo lakini sehemu ya kufugia ndo tatizo..........
hahahahhahaaVipi huyo jogoo mmoja... ikatokea hapandi mtungi si bajeti inaharibika maana hakutakuwa na watoto wa kuku wapya
Wewe hujawahi kufuga mkuu,labda unafuga ilimradi umefuga tu...Jamani nikweli kwamba kuku wa kienyeji anatanga siku 30 mfululizo? mbona tuliokijijini tungekuwa matajili sana. acheni fix watoto wa mjini.
hapo kwangu mimi vitu viwili ni kikwazo:
1. mashine ya kukodi ya kutotolea mayai.
2. mashudu ya alizeti
Jamani nikweli kwamba kuku wa kienyeji anatanga siku 30 mfululizo? mbona tuliokijijini tungekuwa matajili sana. acheni fix watoto wa mjini.
nipo tabora mkuu wilaya ya IgungaMkuu upo mkoa gani??
tenga pembeni wakae peke yaoNina swali kidogo,kuku wa kienyeji hulea vifaranga vyake,sasa ukitotolesha kwa mashine hivyo vifaranga unavichanganya na mama zao au unavitenga pembeni?
wapi huko nijenyumba za kupanga mtihani kweli kweli, shamba kuku ni elfu 6 tu
Unaishi wapi ambapo huna sehemu ya kufugia? sehemu ya mita za mraba 6 panatosha kufuga hadi kuku 120.Ni fursa nzuri mkuu tatizo ni mahali...yani sehemu ya kuwafugia hao kuku....kwa upande wangu hyo laki 3 pengine na zaidi ninayo lakini sehemu ya kufugia ndo tatizo..........