Kuwa tajiri kwa mtaji wa laki 3 tu kupitia ufugaji wa kuku wa kienyeji

umenena ukweli mtupu
Nimeanza mwezi March na kuku 35 tu
Leo ninao kuku 120 (110 ni vifaranga na mayai tunaokota karibu 5 kila siku)
Ninaona taa ya kijani mbele maana soko ni uhakika kabisa
 
umenena ukweli mtupu
Nimeanza mwezi March na kuku 35 tu
Leo ninao kuku 120 (110 ni vifaranga na mayai tunaokota karibu 5 kila siku)
Ninaona taa ya kijani mbele maana soko ni uhakika kabisa
mkuu hii forum ya kilimo hapa JF imenisaidia sana kubadili maisha na mtaamo wangu kuhusu maisha hasa katika ufugaji wa bata (bata Bukini) na ufugaji wa kuku pamoja na kilimo
 
Farming looks mighty easy when your plow is a pencil and you're a thousand miles from the corn field.
Imagination ndio mwanzo wa kila kitu,ili ukija kwenye reality imagination inakupa nguvu ya kuendelea.
Wabongo hz kwao sio fursa ila ukiwaambia kuna software ya kudownload hela TMT inaitwa Forex wanakuja fasta na viingilio juu.
Aiseee changamoto zinakatisha tamaa hatimaye wengi huendea njia za haraka za mafanikio.
 
Mkuu are You serious kuku wa kienyeji 11 ndani ya miezi 3 utakuwa na kuku 300+ ???

Uongo sio kitu kizuri kabisa.... Nataka nifanye utafiti kwa kukutembelea najua utakuwa na record ya kuku wa kuanzia 11 then tuone hadi sasa una kuku wangapi????
Labda alikuwa anamaanisha vifaranga, sijui kama kimehesabu hii kitu iko sahihi. Kiufupi huyu mleta maada hajawai fuga kaikota hizi tango poli mtandaoni
 
Labda alikuwa anamaanisha vifaranga, sijui kama kimehesabu hii kitu iko sahihi. Kiufupi huyu mleta maada hajawai fuga kaikota hizi tango poli mtandaoni
Inawezekana mkuu, kikubwa adabu katika kupambana na hiyo kazi na pia kufuata taratibu zote za ufugaji kuku kiutaalamu.

Ila sema utakuwa na vifaranga au watoto wa na sio kuku wenyewe.

Ili ukipambana kiuhalisia, unaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…