Kuwa singo ni stori nyingine

Kuwa singo ni stori nyingine

Meanwhile......mimi!
FB_IMG_1787152630631.jpg
 
Unakubali vipi kuwa single?

Wanadamu wote hawa duniani unakubali vipi kukaa kipweke?

Basi hata wa kuichapa kweli ukose, hilo ni gundu gani?

Akikata mti usikubali, panda mti hapo hapo!
 
Back
Top Bottom