Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Kuwa na uwoga kwa uongozi ndio chanzo cha uongozi huo kutokuwa na uwajibikaji na uvunjifu wa katiba wazi wazi.
Maneno haya nime yatafsiri kutoka kwa pole pole, katika uhalisia mtu anaweza kuwa kiongozi mbaya kutokana na mazingira anayo yaongoza, mfano samia amevunja katiba wazi wazi ya chama chake akijua hakuna wa kumfanya chochote kwasababu ya uwoga. nilisikia wajumbe wanampinga tu nje ya vikao sio kwenye vikao.
Hili ni tatizo kubwa tunapaswa kubadilika kimtizamo jinsi tunavyo mtizama kiongozi tuliye muweka lazima tuwe na uwezo wa kumuwajibisha inapobidi ili nchi inyooke anaweza kuja kutuuza.