Kuwa na Marafiki wanaoeleweka

Kuwa na Marafiki wanaoeleweka

Hao
Hili ni Kweli na huwezi kuliona kama hujapitia moja wapo ya stage hapo. Ukiwa na hela utaona watu wenye ela ndio marafiki zako ukichange gafla wenye ela wanappotea halafu unaanza kukutana na wale ambao hawana ela mnaanza kuelezana namna hali iivyo ngumu. Ni mambo ambayo yapo yanatokea kila siku.Halafu Wanaotunga sera za elimu wangeiangalia elimu itolewayo kwenye shule zetu na kuifanyia mageuzi tuweze kuwa na somo la maisha.Mahesabu ya kwenye karatasi ni rahisi kuandika ila ukija mtaani ni vitu viwili tofauti.
Hao waalim wa kufundisha somo hilo la maisha wenyewe wamepigwa na maisha watafundishaje sasa?
 
Back
Top Bottom