@kiranga wewe ni writter mzuri endelea kuandika mkuu najua una maarifa mengi na kuyagawa na hasa kwa kuandika humu ni Hobby yako. Comment zako huwa wengi tunazisoma na hizo zimekupa upekee na wengine humu.Fanya hivi.
Kuwa na kitu kitakachowafanya wao watake ku join na wewe. Na si wewe kitaka ku join na wao tu.
Kuwa na skill fulani hivi inayotakiwa nao. Hela yao haiwatatulii matatizo yao, wewe ukiweza ku add value katika maisha yao, watakutafuta wenyewe.
Sasa wewe hela huna, sawa.
Bado wanakufikiria na pengine kuna wenye moyo wa kukusaidia.
Ila watakusaidia vipi utoke kwenye kutaka kusaidiwa kila siku uweze si tu kusimama mwenyewe, bali pia hata na wewe kusaidia wengine?
Una ujuzi gani? Mipango gani? Vipaji gani? Unajua biashara gani? Mpaka sasa ushafanya nini? Umekwama wapi?Umeandika mipango yako? Una patent? Copyright? Trade Mark? Umesajili nini? Una elimu gani? Uzoefu gani? Unataka kufanya nini? Kwa nini usaidiwe wewe na si wengine maelfu kama wewe?
Ulimwengu wa sasa watu hawaaminiki na wengine hatutaki marafiki wa karibu wengi kuepusha mizozano na matatizo ya kiusalama, kwa nini mtu akufungulie wewe network yake ya urafiki? Atakuamini vipi wewe kirahisi tu?
Kuna mengi naweza kuandika nilivyosaidia watu, na nilivyofunzwa hivyo tangu awali kwenye nasaba yangu, lakini sitaki kuonekana najitapa na sipendi kuvunja maadili ya faragha zangu na niliowasaidia.
mkuu we upo kundi gani?Ukiwa na urafiki na mtu mwenye hela basi na wewe uwe nazo.
Kama huna,na una urafiki na mtu mwenye hela ujue basi una mawazo ya maana na kibiashara una akili mingi..friend with benefit.
Basi kama umebahatika kuwa na rafiki mwenye hela na bado ni marafiki na wewe huna,basi jua fika humtangazii injili ya shida na kulia lia hovyo kuhusu maisha magumu na kutaka akuje pesa
Nakushukuru sana.@kiranga wewe ni writter mzuri endelea kuandika mkuu najua una maarifa mengi na kuyagawa na hasa kwa kuandika humu ni Hobby yako. Comment zako huwa wengi tunazisoma na hizo zimekupa upekee na wengine humu.
Sieleweki nanata na beatmkuu we upo kundi gani?
eleweka basi nikutake urafiki.Sieleweki nanata na beat
FactFanya hivi.
Kuwa na kitu kitakachowafanya wao watake kujiunga na wewe. Na si wewe kutaka kujiunga na wao tu.
Kuwa na ujuzi fulani hivi unaotakiwa nao. Hela yao haiwatatulii matatizo yao, wewe ukiweza ku add value katika maisha yao, watakutafuta wenyewe.
Sasa wewe hela huna, sawa.
Bado wanakufikiria na pengine kuna wenye moyo wa kukusaidia.
Ila watakusaidia vipi utoke kwenye kutaka kusaidiwa kila siku uweze si tu kusimama mwenyewe, bali pia hata na wewe kusaidia wengine?
Una ujuzi gani? Mipango gani? Vipaji gani? Unajua biashara gani? Mpaka sasa ushafanya nini? Umekwama wapi?Umeandika mipango yako? Una patent? Copyright? Trade Mark? Umesajili nini? Una elimu gani? Uzoefu gani? Unataka kufanya nini? Kwa nini usaidiwe wewe na si wengine maelfu kama wewe?
Ulimwengu wa sasa watu hawaaminiki na wengine hatutaki marafiki wa karibu wengi kuepusha mizozano na matatizo ya kiusalama, kwa nini mtu akufungulie wewe network yake ya urafiki? Atakuamini vipi wewe kirahisi tu?
Kuna mengi naweza kuandika nilivyosaidia watu, na nilivyofunzwa hivyo tangu awali kwenye nasaba yangu, lakini sitaki kuonekana najitapa na sipendi kuvunja maadili ya faragha zangu na niliowasaidia.
Nimechagua kutokueleweka mkuueleweka basi nikutake urafiki.
right bt mi nshakuelewa upo upande gani hivo naomba urafikiNimechagua kutokueleweka mkuu
Nipo upande gani??niambieright bt mi nshakuelewa upo upande gani hivo naomba urafiki
upo.... mkuu siwezi kusema hapa live ntakuambia PIEMUNipo upande gani??niambie
Sema hapa hapa nikifika PIEMU si Chakorii huyu unaemjua labda niamue kukuendekeza.upo.... mkuu siwezi kusema hapa live ntakuambia PIEMU