Kuwa na mahusiano na mwanamke aliezaa..

Unafikiri harusi tu? Vipi labda akiapishwa kuwa Rais huyo mtoto ataenda mkeo na wewe au utamwacha mkeo na jamaa?

Kama wewe ndiye ulimlea na kumsomesha..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu harusi nimetoa tu km mfano rahisi,lkn yapo matukio mengi..! Mkuu kulea na kumsomesha hakuondoi ukweli kuwa yule ndo baba yake..tena akiwa masikini huyo baba halisi,ndo atapewa nafasi kubwa zaidi iwapo mtoto atafanikiwa..!

Ni changamoto kubwa sana,sema ndo hivyo ukioa mama aliyezaa no way inabidi ukubali yote!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
ushauri wangu wanawake waliozaa ni wazuri zaidi kuwa nao kwenye mahusiano.
Sababu ya wewe kufeli ktk mahusiano yaliyopita haitoshi mkuu kutuaminisha hili. Pia ni mapema mno kusema haya. Endelea tu kumpatia mahala pa kupumzikia huyo dada.
 

Mkuu;
Do we marry by following the opinions of others?? Hapana, hapana. Sioi kwa sababu nasikiliza nani anasema nini. Naoa yule moyo wangu umempenda na nina amani naye.
Ninachokisema sio kuhusu watoa mimba, hapana, nasema, sikuziona hizo mimba, sikuwaona baba zao. Ila nimewaona watoto wake na najua baba zao watakuja kuleta malisho kwa watoto wao. Je, siku wakileta tukakutana sebuleni kwangu itakuwaje?? Wivu wangu utakaaje?? Je, ikitokea my wife kaenda kuzichukulia hata huko mjini kwa ustawi wa jamii, akacheleweshwa na ofisa aliyetoka kidogo kwa dharura, nitaamini vipi kuwa hakuenda pasha kiporo?? Sitaki familia ya kudhaniana
 
Mkuu, inakuwa hivi, unamwambia tu huyo binti kama baba wa mtoto anauwezo wa kumlea huyo mtoto then kuliko awe analeta pesa nyumbani ni heri akae nae.. Kama hana uwezo basi hakuna haja ya kuleta chochote na wewe utahudumia kila kitu..

Nimesema opinions ni kwakuwa hiyo post yako umeiandika kwa ushawishi wa kuwashawishi wengine wasiwaoe hao single mothers, hivi kwa mfano ukiyatamka maneno hayo mbele ya mdogo wako ambae anakuheshima anaweza kuoa single mother?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond anaonyesha kumjali baba yake aliyemzaa? Diamond hajafanikiwa? Wapo wengi sana ambao walilelewa na mama na baba wa kambo ambao hawataki hata kidogo kuwasikia baba zao waliowazaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu;
Nielewe vizuri tu. Nasema; sio vizuri kuoa mke wa mtu. Aliyemzalisha ndo mume wake labda kama alimbaka na hapa namaanisha kutumia nguvu sio ati ni under 17.
Pili, mdogo wangu/mwanangu nitamshauri asimuoe. Amlale aondoke zake. Akipata katoto huko achukue akalelee mwenyewe.
Kuhusu kumtunza mtoto wa mwenzio naona ka uwenda wazim fulani. Mimi niumie na mwanao huku wewe unakula bata!! Inashangaza! Kila mtu aubebe msala wake mwenyewe.
Single mums wana waliofiwa na wake zao na walioachwa wako huko waelekezane kwa habari ya mwanzo wa pili sio mwanzo mpya uunganishwe na mwanzo wa pili. Yaani kijana fresh akamlopoe mwanamke wa mtu mwingine
 
Duh!!!

-Ndumilakuwili-
 
Kweli wapo vizuri. Naungana na mleta uzi, japo sio wote wengine pasua kichwa
 

Sasa mzee baba si ungewazalisha hao uliokuwa nao kwenye mahusiano nao wangekuja pevuka kiakili kuliko kuwaacha, siku wakizalishw na watu wengine utawaona nao ni LULU tena.
 
Kwa uzoefu wako hadi sasa unafikiri ni kwa nini wanakuwa na tabia hiyo kwenye mahusiano baada ya kuwa wameshazaa?

Nadhani asilimia kubwa wanakuwa hivo ili wapate wakuwaoa, maana wakilinga linga au kujifanya wajuaji watazalishwa tena na kuachwa home.
 
Single maza hawafadhiriki!
Uzuri madhira yao yote tunayajadili hapa kila uchwao, jitahidi usizame hapo utakuja lia msiba sio wa nchi hii
 
Ku-date mwanamke aliyezaa ni sawa tu. Ila jua kumpenda mwanae. As long as huna mambo ya ki zamani kuwa Mtoto sio damu yako, basi atakupenda kama baba yake. Watoto hawachagui love ya parent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…