Kuwa na mahusiano na mwanamke aliezaa..

Ni ukweli uliobayana

Wako kiheshima na upendo zaidi

Wengi hawapendi kukumbukia matatatizo na shida za mapenzi za nyuma.

Kweli kua uone mengi. Huwa najiuliza;
Mimi nitakuwa na nini cha zaidi niweze kumtuliza huyu ambaye amekuwa kwenye mapenzi na limjamaa lingine hadi kupata mtoto/watoto halafu leo wakaachana??
Hivi tumefika mahali, kijana huna tatizo kabisa uende kumchumbia "Used"?? Huyo mwenye watoto akileta hela ya kumlea mwanaye akikukuta hapo huwa anakuonaje?? Naomba msinielewe vibaya tu ila ningeliomba wadada ambao hamjaingia uwanja huu wa single mums mnisome muone hatari iliyopo.
Wakikutana hapo kwako, huwa unajisikiaje?? Huenda nina wivu kupindukia ila, my wife wangu sitaki hata apimwe Preg na lidume flan. Natamani amkute dk wa kike.
Wadada, msijirahisishe na ninyi vijana, msiwasikilize waliokwisha kata tamaa ka huyu mleta mada hii. Usikubali used, hao wana waliofiwa na wake zao. Wawachukue hao, wawapiganie hao ili wapate viwanja vya kuzikiwa.
 
Usiyaogope maisha kijana!..the trouble is if you don't take risk you risks more!.
 
Ni kweli mkuu,kiakili wanakuwa wametulia kutokana na madhira waliyopitia na huwa wanatafuta mahali pa kupozea machungu..!
Lkn usifikiri wametulia kii-hivyoo..aisee utakuwa unajidanganya..! Kwanza uwezekano wa kukata mawasiliano na mzazi mwenzie haupo,km ni muelewa,akajiepesha na hilo,atakuwa amekusaidia.

Lkn ikitokea ww ukaishiwa na jamaa akawa anazo hata kidogo tu,aisee labda awe hamtaki,otherwise utapigiwa mpaka ukome!

Halafu siku ya kuoa/kuolewa huyo mtoto,ni wazazi gani watakaa high table,wewe na mkeo au mkeo na jamaa!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu, inategemea lakini, just because she is a single parent haina maana ndo mtu bora kumdate, hope unajua what it takes mentally to date single mom na hujakurupuka. maana inaonekana umepagawa na beat wakati hata chorus hujaskia. Kila la kheri lakin kwa maisha ulochagua.
 
Editing tu asee, kuna walioiba hii avatar wakajifanya ni mimi kumbe sio, watu wanadhani nimefungua ID nyingine kumbe hapana ndio maana nimeweka hii tofauti
Wameiba avart alaf wakawa hawaitendei haki amaana tulikuwa tunajiulizaga sana yupo wapi maana tulishazoea kukuona namaba 1 coment
 
Kweli kua uone mengi. Huwa najiuliza;
Mimi nitakuwa na nini cha zaidi niweze kumtuliza huyu ambaye amekuwa kwenye mapenzi na limjamaa lingine hadi kupata mtoto/watoto halafu leo wakaachana??
Hivi tumefika mahali, kijana huna tatizo kabisa uende kumchumbia "Used"?? Huyo mwenye watoto akileta hela ya kumlea mwanaye akikukuta hapo huwa anakuonaje?? Naomba msinielewe vibaya tu ila ningeliomba wadada ambao hamjaingia uwanja huu wa single mums mnisome muone hatari iliyopo.
Wakikutana hapo kwako, huwa unajisikiaje?? Huenda nina wivu kupindukia ila, my wife wangu sitaki hata apimwe Preg na lidume flan. Natamani amkute dk wa kike.
Wadada, msijirahisishe na ninyi vijana, msiwasikilize waliokwisha kata tamaa ka huyu mleta mada hii. Usikubali used, hao wana waliofiwa na wake zao. Wawachukue hao, wawapiganie hao ili wapate viwanja vya kuzikiwa.
Mkuu kwani kuna tatizo? Kuna tofauti gani kati ya single mother na aliyechoropoa mimba zaidi ya 5? Tatizo la vijana kujifanya hamtaki waliozaa ni kuona familia, ndugu na marafiki watakuchukuliaje..

Tena bora ya single mother wengi wao 80% hawajatoa mimba kuliko wale ambao hawajazaa alafu ukiambiwa mimba alizochoropoa unaweza hata kukaa nae kumpa rounds za bia unaona kinyaa.. Follow your heart not opinions of others..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu,kiakili wanakuwa wametulia kutokana na madhira waliyopitia na huwa wanatafuta mahali pa kupozea machungu..!
Lkn usifikiri wametulia kii-hivyoo..aisee utakuwa unajidanganya..! Kwanza uwezekano wa kukata mawasiliano na mzazi mwenzie haupo,km ni muelewa,akajiepesha na hilo,atakuwa amekusaidia.

Lkn ikitokea ww ukaishiwa na jamaa akawa anazo hata kidogo tu,aisee labda awe hamtaki,otherwise utapigiwa mpaka ukome!

Halafu siku ya kuoa/kuolewa huyo mtoto,ni wazazi gani watakaa high table,wewe na mkeo au mkeo na jamaa!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri harusi tu? Vipi labda akiapishwa kuwa Rais huyo mtoto ataenda mkeo na wewe au utamwacha mkeo na jamaa?

Kama wewe ndiye ulimlea na kumsomesha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom