Kadri ninavyokunywa na kukojoa ni hivyo hivyo.Shida imezidi muone Daktari!. Je huwa unakojoa mara kwa mara?
Nipo kawaida kabisaUnahisi njaa?Ume loose weight?Nenda hospitali huenda ni dalili za pre diabetes.
Asante, mkuuMkuu hilo ni tatizo wahi hospital..... Maana hapo sababu kuu ni kidney failure au liver au heart....... Na effect yake n kua ita dilute sana blood kiasi kwamba most ions zitatoka outside of the cell na kuiacha cell with no ions neccesary for its function
Pia ita lower blood sodium level ko ur sensitivity itapungua uwezo wa kusense vitu utapungua
Pia ita lower blood calcium levo ko muscles hazitakua na uwezo wa ku contract kwa wakati
Sawa, nashukuruNa wakati unangojea kwenda kwa daktari anza kula vitu vyenye chumvi na madini mengine kwa wingi ili atleast u balance body ions level.... Jitahidi usinywe maji mengi na kunywa only pale yanapohitajika
Unaweza fanya kama ukickia kiu saaana kunywa maji kidogo den tulia ivo ivo
Inawezekana, lkn Mungu akipenda kesho nitaenda kuchekNi hali ya hewa tu, joto limeongezeka wakati wa usiku kipindi hiki.
hiyo ni dalili ya mwanzo kabisa ya pre diabetes.mata nyingi sukari hujificha kuigundua ni mapema ni ngumu.Kunywa hayo maji kunywa juisi ya spinachi ili urudishe calcium iliyopotea wakati unajiandaa kwenda hospitali mkuuNipo kawaida kabisa
Vipi ulienda kuchek sukari?? Majibu yanasemaje?Inawezekana, lkn Mungu akipenda kesho nitaenda kuchek
kisukar aina ya pili inatibika bila madawa kama utafanya mazoez asubuh na jion kukimbia au kutembea utaona kiu inaisha lakin ngoja tujadili vinywaji unavyopendelea yafuatayo yanasabbisha ugonjwa huoKadri ninavyokunywa na kukojoa ni hivyo hivyo.
Mbona humwambii na :kisukar aina ya pili inatibika bila madawa kama utafanya mazoez asubuh na jion kukimbia au kutembea utaona kiu inaisha lakin ngoja tujadili vinywaji unavyopendelea yafuatayo yanasabbisha ugonjwa huo
chai vikombe zaid ya viwili kila siku
juis na kuongeza sukar
soda
juis za madukan mara kwa mara
bia
yapi unafanya hapo
TUWEKEE HAPA HIYO TIBA UWAOKOE WATUsukar hiyo nina tiba yake
KAPIME KISUKARI KATIKA MKOJO NA KATIKA DAMU MAANA KAMA NI KISUKARI KINA ANZA UNAKUWA KANA UNATIA MAJI HAPA NA KUYAHAMIAHIA PALE PIA UMEKUNYEA LITA 1 UNAKOJOA LITA 2Kadri ninavyokunywa na kukojoa ni hivyo hivyo.
hiyo hailet kisukar chochote kinachoingiakatika damu kwa urahisi kama vinywaji vyote kasoro maji ndio kongosho inatoa kemikali ya kuondoa sukar kwenye damu sasa inatoa kila siku mpaka inachoka na unapata ugonjwa huo ila kama utatafuta haina madhara kwani kinagawanyika kingi kinaenda tumboni moja kwa moja kidogo ndio kinaenda kwenye damu hata hivyo ukitafuna unatumia nguvu za misuli hivyo unaanda mazingira ya kupunguza sukar ili itakayokuja isijae hivyo haina madhara kula vyakula hivyo kama huumwi labda uwe ushapata ugonjwa lakin yeye ni katika hatua za awali ataiwai na atakua anakula kama kawaidaMbona humwambii na :
UBWABWA
UGALI WA SEMBE
CHIPS DUME NA JIKE
NYAMA CHOMA NYEKUNDU