Kuwa na Kiu kali ya maji mara kwa mara

jik

Member
Dec 21, 2014
50
16
Habarini wanajamvi,
Sijui niliite ni tatizo maana siyo kawaida yangu. Hii tabia imenianza hivi karibuni, ninapatwa na kiu kali sana ya maji ya kunywa mara kwa mara, naweza kunywa maji ya kutosha baada ya dakika mbili tena nikahisi kiu balaa hasa nyakati za usiku hadi koo linakauka. Je, kuna tatizo linaninyemelea au ndiyo limeshakuwa tatizo? Nini kifanyike?
USHAURI wenu tafadhali, karibuni....
 
Kama Dundo Boy alivyouliza hapo juu, vipi rate yako ya kukojoa? Inawezekana kisukari "diabetes" kinakuanza. Kapime sukari haraka sana!
 
Mkuu hilo ni tatizo wahi hospital..... Maana hapo sababu kuu ni kidney failure au liver au heart....... Na effect yake n kua ita dilute sana blood kiasi kwamba most ions zitatoka outside of the cell na kuiacha cell with no ions neccesary for its function

Pia ita lower blood sodium level ko ur sensitivity itapungua uwezo wa kusense vitu utapungua

Pia ita lower blood calcium levo ko muscles hazitakua na uwezo wa ku contract kwa wakati
 
Na wakati unangojea kwenda kwa daktari anza kula vitu vyenye chumvi na madini mengine kwa wingi ili atleast u balance body ions level.... Jitahidi usinywe maji mengi na kunywa only pale yanapohitajika
Unaweza fanya kama ukickia kiu saaana kunywa maji kidogo den tulia ivo ivo
 
Asante, mkuu
 
Sawa, nashukuru
 
Nipo kawaida kabisa
hiyo ni dalili ya mwanzo kabisa ya pre diabetes.mata nyingi sukari hujificha kuigundua ni mapema ni ngumu.Kunywa hayo maji kunywa juisi ya spinachi ili urudishe calcium iliyopotea wakati unajiandaa kwenda hospitali mkuu
 
Kadri ninavyokunywa na kukojoa ni hivyo hivyo.
kisukar aina ya pili inatibika bila madawa kama utafanya mazoez asubuh na jion kukimbia au kutembea utaona kiu inaisha lakin ngoja tujadili vinywaji unavyopendelea yafuatayo yanasabbisha ugonjwa huo

chai vikombe zaid ya viwili kila siku
juis na kuongeza sukar
soda
juis za madukan mara kwa mara
bia
yapi unafanya hapo
 
Mbona humwambii na :
UBWABWA
UGALI WA SEMBE
CHIPS DUME NA JIKE
NYAMA CHOMA NYEKUNDU
 
Kadri ninavyokunywa na kukojoa ni hivyo hivyo.
KAPIME KISUKARI KATIKA MKOJO NA KATIKA DAMU MAANA KAMA NI KISUKARI KINA ANZA UNAKUWA KANA UNATIA MAJI HAPA NA KUYAHAMIAHIA PALE PIA UMEKUNYEA LITA 1 UNAKOJOA LITA 2
 
Mbona humwambii na :
UBWABWA
UGALI WA SEMBE
CHIPS DUME NA JIKE
NYAMA CHOMA NYEKUNDU
hiyo hailet kisukar chochote kinachoingiakatika damu kwa urahisi kama vinywaji vyote kasoro maji ndio kongosho inatoa kemikali ya kuondoa sukar kwenye damu sasa inatoa kila siku mpaka inachoka na unapata ugonjwa huo ila kama utatafuta haina madhara kwani kinagawanyika kingi kinaenda tumboni moja kwa moja kidogo ndio kinaenda kwenye damu hata hivyo ukitafuna unatumia nguvu za misuli hivyo unaanda mazingira ya kupunguza sukar ili itakayokuja isijae hivyo haina madhara kula vyakula hivyo kama huumwi labda uwe ushapata ugonjwa lakin yeye ni katika hatua za awali ataiwai na atakua anakula kama kawaida
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom