Habarini wanajamvi,
Sijui niliite ni tatizo maana siyo kawaida yangu. Hii tabia imenianza hivi karibuni, ninapatwa na kiu kali sana ya maji ya kunywa mara kwa mara, naweza kunywa maji ya kutosha baada ya dakika mbili tena nikahisi kiu balaa hasa nyakati za usiku hadi koo linakauka. Je, kuna tatizo linaninyemelea au ndiyo limeshakuwa tatizo? Nini kifanyike?
USHAURI wenu tafadhali, karibuni....