Ok nmeelewa asante,Yaani wewe ukijiunga kama dereva wa uber utapata nafasi ya kumuunganisha dereva mwenzako na hapo wewe utapatata tsh 450,000 pale tu ulie munganisha atafikisha Safari (ride)50. Pia hamna mashart makubwa cha msingi uwe na gari dogo lenye kiyoyozi na uwe na lesen za udereva hapo utakuwa umekamilika.
Nyoosha maelezo chief....
Ebu soma huu uzi wako afu niambie umeelewa nini labda na mm ntaelewa.
Tatizo hili,Halafu usikute huyo ndiyo anaaminika kweli huko Kazini Kwao lakini utiririkaji na usererekaji wake kimaelezo ni Sifuri.
Usalama wako uber ndio wana husika na wanaotumia network kuchunguza kila dereva anako enda na usalama wake .Hamna wasiwasi na Kuwa na imani Kabisa.asante Kwa kunielewa kujiunga nasi unaweza nicheki Kwa 0682059217 .Na nitakuelekeza namna ya kujiunga.Ok nmeelewa asante,
Vipi kuhusu usalama....ikitokea nmetekwa na gari yangu ikaibwa uber itahusika ktk kutatua hilo tatizo!?
Pole Kwa kutumia nguvu nyingi Mr .Na karibu uber transport system.Tatizo hili,
Hajui matangazo ya biashara hayatakiw kumfanya msomaji atumie nguvu nyingi kuelewa,
Nmesoma mara mbili mbili nilikua sijui anamlengo gani....teh teh teh
Usalama wako uber ndio wana husika na wanaotumia network kuchunguza kila dereva anako enda na usalama wake .Hamna wasiwasi na Kuwa na imani Kabisa.asante Kwa kunielewa kujiunga nasi unaweza nicheki Kwa 0682059217 .Na nitakuelekeza namna ya kujiunga.
Asante sanaPole Kwa kutumia nguvu nyingi Mr .Na karibu uber transport system.
Asante and sory kama nimekukwaza. Mimi nadokeza uwepo wa hilo Jambo nikiwa miongoni mwa uber amberssador. Ila ndivyo ilivyo tafsili hutofautiana (defferent perception) karibun Sana.Halafu usikute huyo ndiyo anaaminika kweli huko Kazini Kwao lakini utiririkaji na usererekaji wake kimaelezo ni Sifuri.
Mkuu , kweli hujanielewa au unatafuta ushindi ,Kuwa na amani na Kuwa tayari kuelewa basi bila hivyo utatafuta kwenye dosari tuu na siyo kwenye matiki ya Jambo .Ila asante Kwa changamoto.Mbona pamoja na kurudia kutoa ufafanuzi na kuweka namba yako ya Simu juu bado tu hujaeleweka Mkuu? Hivi upo kweli Uber Wewe au tukupime Kwanza mkojo?
Asante and sory kama nimekukwaza. Mimi nadokeza uwepo wa hilo Jambo nikiwa miongoni mwa uber amberssador. Ila ndivyo ilivyo tafsili hutofautiana (defferent perception) karibun Sana.