Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Naomba ithibitishwe haraka.Nyingi, mbili za mawasiliano ya kawaida, moja ya lipa namba, mbili za miamala.
0766212225, 0678921567 za mawasiliano..nicheki basi nikuambie kitu kizuri.Naomba ithibitishwe haraka.
Mi ninazo nnendiyo mmenishtua imebidi nihesabu..!
Nina laini 7, nyingine hazipo kwa majina yangu..
4 za biashara, 3 ndiyo personal japo ninazotumia zaidi ni 2, 1 ni mahsusi kwa ajili ya miamala. tu.!ππΎ
dosho12 Vincenzo Jr Depal
mko na laini ngapi wazee wenzangu..!?
Shindikanaa kabisa broπ0766212225, 0678921567 za mawasiliano..nicheki basi nikuambie kitu kizuri.
Hahahaa mangi huyu mtoto namzimikia sana, sijui kwa nini hanitaki, au kwa vile sina pesa?Shindikanaa kabisa broπ
Mkuu naona umejilipua π0766212225, 0678921567 za mawasiliano..nicheki basi nikuambie kitu kizuri.
Bwashee tatizo lako hautoi chakula πHahahaa mangi huyu mtoto namzimikia sana, sijui kwa nini hanitaki, au kwa vile sina pesa?