KUWA MKWELI TUU

Aisee!! ad naanza kuhisi kila neno la kizungu ni ufupishao....Ndo najua leo et kwel Wazung wametuchezea pakubwa hui!!😨😨
 
Jaman khaaa mi nikajuaga et hospital ndo neno full na hosp ndo kifupisho duuuh kwel balaaaa jamani ningeulizwa kwa milion wallah ningeikosaga
 
Back
Top Bottom