kuwa marafiki na mpenz wako mitandao ya kijamii..

kuwa marafiki na mpenz wako mitandao ya kijamii..

accountant D

Member
Joined
Dec 17, 2013
Posts
46
Reaction score
17
wanakijiji mmeshindaje?

mnachukuliaje swala zima la wapenzi kuwa marafiki facebook,twitter, na hata hapa JF...yaani.mpenzi wako anajua kabisa jina unalotumia hapa JF.

Mi naona sio jambo zuri.linaweza likaleta ugomvi.mda wote utabaki kuchunguza amepost nini ,kaandika nini...
Halafu hauna uhuru wa kuongea wazi ukijua mpenz wako atasoma..

What is your take on this members?
 
hahahahaa my Mwanyasi njoo uone hapa kweli unanyimwa uhuru?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom