Kuwa makini unapotafuta MKE wa kuoa

Kuwa makini unapotafuta MKE wa kuoa

Hahahaha umetisha jembe,
Na kweli...

Ndo ukweli dadaangu.

Jikumbushe Mithali 31:28-30.

28. Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema,
29. Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote.
30. Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa.
 
Mkuu kmbuka unaoa mwanamke co kaz yake, so n tabia ya Mtu Kwan wapo weng wameoa eidha mtu ambae hana kaz kabisa lkn wanajuta ktk ndoa zao, hivyo kaz si kitu mbali tabia au utu wa mtu ndo cha kuangalia
 
Ndo ukweli dadaangu.

Jikumbushe Mithali 31:28-30.

28. Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema,
29. Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote.
30. Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa.
Hua naipenda hiyo mistari,kama wanawake tuna jukumu kuimarisha familia zetu na hatimae ziweze kujivunia. Mungu atusaidie....
 
Ndo ukweli dadaangu.

Jikumbushe Mithali 31:28-30.

28. Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema,
29. Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote.
30. Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa.
Mkuu huo ndiyo ukweli wenyewe na itabaki hivyo.....somo mithali 31:28_30 ni somo kuntu kwa wanao anza safari ya ndoa
 
Hapo kwa walimu ni kweli tupu...nimeoa mwalimu mwaka wa nne now...sijawahi juta.
Na ni mzuri hasa.
 
Ahahahaaaa.....jmos kwa mromboo for mbuzi.
181383"]Ha haaa acha kuniharibia ramani wewe,takufunga[/QUOTE]
Ahahahaaaa.....jmos kwa mromboo for mbuzi.
Cc#Preta,Filipo,Sweetlady,Canta,Easy
 
Back
Top Bottom