Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,689
Wasalaaam wandugu, poleni sanaa na mihangaiko ya hapa na pale.
Back to Topic.
Ni hivi ukienda Bagamoyo kununua kiwanja au shamba, usikumbuke kwenda na hela zako pekee, bali pia kumbuka kwenda na AKILI ZAKO !! Bila ya hivyo UTABAMBIKIWA HIVI:-
1. SHAMBA AU KIWANJA FEKI.
2. MWENYEKITI wa Kijiji FEKI.
3. AFISA MTENDAJI wa Kijiji FEKI.
4. MUUZAJI wa Kiwanja/Shamba FEKI.
5. SHAHIDI FEKI.
6. JIRANI anayejifanya ndio anapakana na kiwanja au shamba unalouziwa, FEKI.
7. WATOTO FEKI - wataitwa kuchezacheza ili muuzaji aonekane ana familia na si mhuni.
8. MKE wa muuzaji, kwamba ataitwa kukusalimia - FEKI
9. NYARAKA FEKI
10. MIHURI FEKI
11. OFISI ya Kijiji FEKI - bendera ya taifa itawekwa nje ya ofisi kama boshen.
12. Siku ukigundua umeuziwa kiwanja cha mtu au shamba lililoko katika mradi wa EPZA, hao wahusika wote huwaoni na ndipo utagundua kuwa hata namba zao za simu ni FEKI.
Kuweni makini, kwani ukishapigwa hela zako za mkopo wa BAYPORT/CRDB/AMANA BANK/ACCESS BANK, PSPF, LAPF, PPF na nani mwingine sijui, fahamu kuwa vitisho vya Polisi au kuwaroga, havitasaidia. Hawa jamaa kwa jinsi walivyo smart,hutawapata kwa polisi na wala hawarogeki.
Nina mifano hai ndugu, jamaa na marafiki wahanga wa mabalaa haya.
NOW THAT YOU KNOW. KEEP THAT IN MIND.
Regards
Senior Boss.