Kuwa makini na utapeli huu wa mtandao

Kuwa makini na utapeli huu wa mtandao

Juzi tu nimetumiwa SMS kuwa nimeshinda £98000, kutoka cocacola ya England cha kushangaza SMS imetumwa kupitia namba ya Halotel,nikamuuliza eti hivi na england kuna Halotel yenye Country Code +255?sijaona jibu na namba hiyo hata ukipiga haipokelewi.
 
Hahahhaaaaaa sasa wanaopigwa ni wengi, mana hawajui hata country code, au anaweza sema yy ni wakala kwa hapa tz [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom