Ndio maana Maandiko Matakatifu yanasema kuwa tuwaombee.Habari zenu wakuu,
Jamani maFirst born hasa tuliozaliwa kwenye hizi familia zetu za kipato Cha kawaida nadhani msoto wa kukabiziwa majukumu kabla ya wakati mnaujua.
Yani umepata kibarua Chako hata we mwenyewe hujimudu vizuri, unakabidhiwa mdogo wako umsomeshe na majukumu mengine ya nyumbani usaidie. Yani wadogo zako wao slope tu, kitu kidogo mtafuteni kaka/dada Yani ushatwikwa majukumu Kama yote.
maFirst born mliobeba majukumu ya mzazi popote mlipo hongera zenu.
Hongera kama wazazi wameweza kukutegemea japo kipato hakitoshi. Ni vita kubwa ya kiroho wamepambana nawe pia umepambana bila kujijua maybe hadi wewe umefika hapo.
Kuna wazazi wengi watoto zao wa kwanza hawawezi hata kuwategemea kwa ushauri maana mshale wa dira upo kusini badala ya kaskazini yaani kama
Exactly, mimi kuna first born namjua yeye dish limeyumba hata haelewi dunia inaendaje ana watoto wawili na aloachwa hawezi hata kushughulika na watoto basi second born ndo anaisoma aakikishe wadogo zake wawili mambo yanaenda na sister ake mambo yaende na familia yake iende huku bimkubwa wake kila siku lawama wale madogo wawili wanavozingua mwingine yeye anataka mziki tu kipaji chewnyewe hakuna akili mziki bro anawapa mitaji wapi anaamua kuwaacha bimkubwa kelele yale bro yule wakat mwingine anakua kama amestuck mama ake akianza kumpa lawama na laana hajali madogo, madogo wakiwezeshwa pesa wanapeleka studio mambo ya mziki mwngin anafunga safari ya dar kujua kununua nguo akirudi anaenda studio kupiga picha anaaza kujipostHongera kama wazazi wameweza kukutegemea japo kipato hakitoshi. Ni vita kubwa ya kiroho wamepambana nawe pia umepambana bila kujijua maybe hadi wewe umefika hapo.
Yaani ila kweli tulienjoy 😂Ukubwa jalala.... first born mmekula ving vinono enz za utoto wenu
1st born mna raha hasa kipindi mnasoma.
Mahitaji yote muhimu mnapewa ,yaani macho yote yanakuwa kwenu.
Wasaidieni wazazi kutusomesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen Mkuu. Shukrani Sana kwa elimu hii
Hakuna kitu najivunia kua first born
My age is 26 now
Kuna wakat nnawatumia hera madogo...then i like their reply utasikia mungu akibariki brother.....after few days utakuta nmekamata deal nyinginzuri
Juzi kat dogo yupo chuo kaniomba hera ya pc
Nipo mapambanoni kumptaftia kam 350 hivi coz I knownkimpa hiyo actually mungu ananipa twice
Kuna wakati nawapigia simu nnaongea nao wananisikiliza utasikia Sawa Brothr tena kwa adabu
Jivunie mwanangu
Exactly, mimi kuna first born namjua yeye dish limeyumba hata haelewi dunia inaendaje ana watoto wawili na aloachwa hawezi hata kushughulika na watoto basi second born ndo anaisoma aakikishe wadogo zake wawili mambo yanaenda na sister ake mambo yaende na familia yake iende huku bimkubwa wake kila siku lawama wale madogo wawili wanavozingua mwingine yeye anataka mziki tu kipaji chewnyewe hakuna akili mziki bro anawapa mitaji wapi anaamua kuwaacha bimkubwa kelele yale bro yule wakat mwingine anakua kama amestuck mama ake akianza kumpa lawama na laana hajali madogo, madogo wakiwezeshwa pesa wanapeleka studio mambo ya mziki mwngin anafunga safari ya dar kujua kununua nguo akirudi anaenda studio kupiga picha anaaza kujipost
Yani Mimi vizinga vya home siwezi kupangua. Sipendi kuona wazazi/wadogo zangu wanashida Yana hata Kama ninakidogo nitajinyima niwapeKweli kabisa mafirst borns tuna raha na shida, raha ni pale wazazi wanapozingatia mawazo yako kwenye maamuzi,kuna kaheshima fulani hivi, mimi dada mkubwa nna kaucontrol flani hivi mixer vibao na makonzi madogo wakizingua ila pia ntahakikisha vitu vimeenda sawa wamekula, wako sawa nk. Shida naona kabisa nakabidhiwa majukumu vizinga vya wanafunzi mara dada nimeishiwa pesa ya matumizi shule aargh nikiwa sina nawajibu wazazi wenu si wapo? Why mnaniomba mimi
Proudly firstborn miye
Last born kama nakuona!!1st born mna raha hasa kipindi mnasoma.
Mahitaji yote muhimu mnapewa ,yaani macho yote yanakuwa kwenu.
Wasaidieni wazazi kutusomesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli aisee mi mwenyewe huwa nanuna tu ila inabidi niwatumie, ila kuna dogo moja linaniudhi vizinga daily yaani nikiiona simu yake najua kumekuchaa mara asingizie amebakiwa na buku 2 tu shule😂Yani Mimi vizinga vya home siwezi kupangua. Sipendi kuona wazazi/wadogo zangu wanashida Yana hata Kama ninakidogo nitajinyima niwape