Kuwa bosi wako leo

Kuwa bosi wako leo

bereng

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
114
Reaction score
21
Habari,
Yawezekana unatamani kujifunza kuhusiana na mbinu za utajiri na mambo yatakayobadili maisha yako. Huenda umechoshwa na suala la kuzunguka na bahasha ukitafuta kazi, unaona ni afadhali ujiajiri kwa kuwekeza katika biashara ambayo ina risk ndogo na itakulipa vizuri.

huenda unatamani kuwekeza katika vitegauchumi vitavyokupatia faida ila bado hujawa na elimu ya kutosha. vilevile huenda unatamani kujifunza mmbinu zitazokufanya uufanye umaskini ufikie expire date ujikomboe kimaisha na kugusa maisha ya watu wengine uondokane na madeni mabaya.

wajasiriamali wa Kitanzania ambao wengine ni waandishi wa vitabu na motivational speakers, wameandaa kam[peni maalumu kwa mkoa wa Dsm, kwa kutoa mafunzo kwa watu wotw BURE. mafunzo haya yatafanyikia ofisini kwao Tabata Bima kuanzia tar 30 juni hadi tar 4 july katika mfumo wa One on one, group meeting na semina kubwa. Mafunzo yanaanza kwa awamu tofauti kuanzia saa 4 asbh mwisho saa 12jioni. unaweza kuangalia muda mzuri kwako na kuhudhuria kwani mafunzo yanachukua saa 1 tu.

Katika mafunzo hayo utajifunza; Changamoto za karne ya 21 na Suluhisho, jinsi ya kuweka malengo na kuyakamilisha, pamoja na jinsi ya Kuwa Bosi wako mwenyewe.
unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0657 712897 na 0686 712897.
 
Back
Top Bottom