Kurunzi
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 10,197
- 11,628
Karika kuhangaika huku na huku nimekutana na hili wazo la kuwa Agent Bank ya Equity moja ya faida waluniambia ni kuwa nawza kufungua ac za wateja, kutoa na kuweka fedha na commision yao ni 40% na wao wapata 60% pia unanunua kwao mashine na simu ya kuunganishwa kwenye hiyo systeam ya mobele agent ambapo ni kama 300000 hivi.
Naomba kwa wale ambao wanaujuzi na hii huduma wanipe mawazo na uzoefu wao.
Natanguliza shukrani zangu.
Naomba kwa wale ambao wanaujuzi na hii huduma wanipe mawazo na uzoefu wao.
Natanguliza shukrani zangu.